Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi.

Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu..

Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao kwani huwa wanahisi wameshikwa ugoni. Bali wawasaidie kwani kuna watu siku hizi Wanaiba nyeti za wanaume(vyombo).

MY TAKE

Nahisi hii ni mbinu ya Serikali kuondoa mjadala wa mafuta kupanda bei na ugumu wa maisha.

Wewe ushagundua kuwa ni mbinu ya serikali lakini bado unaendelea kuwasaidia kupost hizi habari ziendelee kujadiliwa unafikiri hapo unakuwa umeepuka mtego wao?

Hizi mada hazikutakiwa kupewa airtime hata kidogo ni bora tujadili mambo ya chudai kuliko huu usenge.
 
Huu ni ujinga kabisa mtu mwisho wa mwezi anaingiziwa mshahara kutokana na kodi za wananchi halafu anasimama hadharani tena amevaa crown ya taifa anaongea ujinga huu.

Kodi silipi,hakika kama hakujakuwa na option ya mamlaka kugundua kama silipi kodi basi na hiyo kodi sitakaa niilipe namna inavyotakiwa,I swear!
 
Matapeli wanataka kututoa nje ya msitali katika Mambo Mhimu ya nchi yetu
Wapuuzi sana hawa,huyu mama wa kizanzibaa anatutaka nini huyu na hizi takataka zake alizozipa kazi?
 
Raha ya CCM ina mbinu nyingi sana za kucheza na bongolala lala. Hapa tayari CCM imejipatia bao la 3 (mme wa tulia bao 1, nyeti za Tunduma bao 2, polisi kuthibitisha nyeti kupotea bao 3). Bao la nne nyeti za mwanaome kuokotwa mtmi kwa Aziz Ally.
 
Ingekuwa kweli kama wangeficha sura za wahusika halafu hadharani wakaonesha picha za wahusika. Anaeziiba anazipeleka wapi na anayeibiwa anabakiwa na nini.
 
Haijawahi kutokea polisi wanakiri mambo ya uchawi hadharani kama hivi....Hii ni sinema ya kijinga wametengeneza.

Shida IPO kwenye mitandao ya watu wajinga kama Facebook na tik tok Huko wameshaingia king
 
Mnaweza kuona ni utani.

Ila ukweli ni kua jamii zetu ni za kishenzi tu kama viongozi wao walivyo.

Hakuna ambacho hakiwezekani.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi.

Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu..

Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao kwani huwa wanahisi wameshikwa ugoni. Bali wawasaidie kwani kuna watu siku hizi Wanaiba nyeti za wanaume(vyombo).

MY TAKE

Nahisi hii ni mbinu ya Serikali kuondoa mjadala wa mafuta kupanda bei na ugumu wa maisha.
View attachment 3567491
Pathetic drama hizi, aiseee
 
Huu ndio ujinga wa Mwafrika....
 
At least huku kuna comments za waelewa, huko FB ni ujinga mtupu! Watu wanacomment kama ndio wao wameibiwa.
 
Haitashangaza ikiwa ripoti ya akina naniliu ikasema walikuwa watu wa congo ndio waliua watu elfu kumi na ikawa ndio mwisho wa mjadala, ilipendeza lishuke gharika kubwa sana tufe wote waje watu kutoka sehemu nyingine waanze upya kujenga hii nchi…kama taifa tumefika mwisho hakuna namna tunaweza kufanya lolote la maana hapa duniani
 
Back
Top Bottom