Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

Kwa mara ya kwanza serikali imeamini katika uchawi..

Kama vipi police wathibitishe au kukanusha kwenye social network
 
Kwa mara ya kwanza serikali imeamini katika uchawi..

Kama vipi police wathibitishe au kukanusha kwenye social network
mafuta kupanda bei

CAG wizi mabilioni ya CAG

anjela kizige mbunge

kesi ya LISU

naona simba na yanga ,wasanii wameshindwa kutengeneza matukio ya kutosha...
 
Wewe ushagundua kuwa ni mbinu ya serikali lakini bado unaendelea kuwasaidia kupost hizi habari ziendelee kujadiliwa unafikiri hapo unakuwa umeepuka mtego wao?

Hizi mada hazikutakiwa kupewa airtime hata kidogo ni bora tujadili mambo ya chudai kuliko huu usenge.
Mimi sio mgunduzi. Kazi yangu ni kukupa taarifa iwe nzuri au mbaya, uwe unaitaka au hutaki. Jadili mada ukome kunigeuza mjadala
 
Huu ni mchongo wa dola kututoa kwenye mijadala ya maana. Pumbavu kabisa polisiccm
 
Changamoto kubwa ni kwamba wapuuzi na wajinga walishapata nafasi za maamuzi na majukwaa ya uma kwa kiwango kikubwa.
Kuna kazi kubwa ya kurekebisha jamii na taifa kwa sababu hiyo.
 
Maigizo ya policcm kusahaulisha watu masuala ya msingi.

Policcm wameshindwa kuwapata watekaji na wauaji halafu ghafla wanaongelea vitu vya kufikirika na watu wanawaamini.
 
Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi.

Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu..

Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao kwani huwa wanahisi wameshikwa ugoni. Bali wawasaidie kwani kuna watu siku hizi Wanaiba nyeti za wanaume(vyombo).

MY TAKE

Nahisi hii ni mbinu ya Serikali kuondoa mjadala wa mafuta kupanda bei na ugumu wa maisha.

Hakuna kitu cha kijinga kama hicho.
 
Back
Top Bottom