figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Wapuuzi sana hawa,huyu mama wa kizanzibaa anatutaka nini huyu na hizi takataka zake alizozipa kazi?Matapeli wanataka kututoa nje ya msitali katika Mambo Mhimu ya nchi yetu
😳😳mme wa tulia bao 1,
Pathetic drama hizi, aiseeePolisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi.
Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu..
Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao kwani huwa wanahisi wameshikwa ugoni. Bali wawasaidie kwani kuna watu siku hizi Wanaiba nyeti za wanaume(vyombo).
MY TAKE
Nahisi hii ni mbinu ya Serikali kuondoa mjadala wa mafuta kupanda bei na ugumu wa maisha.
View attachment 3567491
Huu ndio ujinga wa Mwafrika....Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi.
Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu..
Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao kwani huwa wanahisi wameshikwa ugoni. Bali wawasaidie kwani kuna watu siku hizi Wanaiba nyeti za wanaume(vyombo).
MY TAKE
Nahisi hii ni mbinu ya Serikali kuondoa mjadala wa mafuta kupanda bei na ugumu wa maisha.
View attachment 3567491
Propaganda ya ccm na machawa wake policcmPolisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue