Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

Kwa mara ya kwanza serikali imeamini katika uchawi..

Kama vipi police wathibitishe au kukanusha kwenye social network
 
Kwa mara ya kwanza serikali imeamini katika uchawi..

Kama vipi police wathibitishe au kukanusha kwenye social network
mafuta kupanda bei

CAG wizi mabilioni ya CAG

anjela kizige mbunge

kesi ya LISU

naona simba na yanga ,wasanii wameshindwa kutengeneza matukio ya kutosha...
 
Mimi sio mgunduzi. Kazi yangu ni kukupa taarifa iwe nzuri au mbaya, uwe unaitaka au hutaki. Jadili mada ukome kunigeuza mjadala
 
Huu ni mchongo wa dola kututoa kwenye mijadala ya maana. Pumbavu kabisa polisiccm
 
Mimi sio mgunduzi. Kazi yangu ni kukupa taarifa iwe nzuri au mbaya, uwe unaitaka au hutaki. Jadili mada ukome kunigeuza mjadala
Kwa ulivyo nichamba.

Sinyi tena.
 
Changamoto kubwa ni kwamba wapuuzi na wajinga walishapata nafasi za maamuzi na majukwaa ya uma kwa kiwango kikubwa.
Kuna kazi kubwa ya kurekebisha jamii na taifa kwa sababu hiyo.
 
Maigizo ya policcm kusahaulisha watu masuala ya msingi.

Policcm wameshindwa kuwapata watekaji na wauaji halafu ghafla wanaongelea vitu vya kufikirika na watu wanawaamini.
 
Hakuna kitu cha kijinga kama hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…