Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

Amemnyima unyumba mwenye nyumba alafu akaenda kumpa mwingine,
Any way , ndoa ni kuheshimiana tu, ukikosa nidhamu huwez kuishi na mtu ndani .
 
Mwanamme bila kamchepuko hata kamoja ni makosa makubwa.Kifo cha presha kinakusubiri...Hawa wake zetu kuna muda wanatuzoe mpaka basi, wanawaza watoto muda mwingi....
Huyo jamaa kakosea..ashiki haziwezi kuwa sababu ya kutoa mtu roho..mapepo hayo
 
Huyo jela yake haitakuwa kama angekuwa ameuwa mtu tofauti na mkewe.

Busara ya kawaida tu ikitumika iweje mke amnyime mumewe unyumba halafu atoke arudi akiwa hana maelezo yaliyonyooka na hakuna anayejua alimjibu nini mumewe alipoulizwa alikotoka,anaweza akawa alimwambia nimetoka kugongwa na wanaojua kugonga.

Usicheze na wanawake wa kizazi hiki anaweza akakupa jibu moja ukaomba ardhi ipasuke.
Zamani nilikuwa nawalaumu Sana watu wanaouwa wake zao kikatilii ila Sasa hivi simlaumu mtu Hawa viumbe ni wanakera hatari unajua Kuna wakati mtu anakujibu jibu ambalo hasira inakushika unatamani upige mbwa ya mtu basi moyo unatulia unaenda Kwa mchepuko unatulia siku unapewa unyumba unaoga chai ya moto mahaba ukilud unatulia siku mbili unaenda Kwa mchepuko mwingne hivyo hivyo basi moyo unasuzika
 
Back
Top Bottom