Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

Polisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba

Wee mwanamke umeolewa! Unamnyima mmeo 'k'. Alafu unaenda kugawa nje na kumletea harufu ya shombo mmeo! Amepata anachostahili. Biblia imesema "msinyimane".

1 Wakorintho 7:5
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.

Ni kosa kubwa kumnyima unyumba mme!
 
Mnanyimana unyumba halafu bado mnaendelea kuishi pamoja?
Hakuna mwanaume anayeweza kuvumilia hata kidogo,unanyimwa unyumba halafu mkeo hatulii ndani wala hakuhudumii.

Na mwanaume asiye na stress ni yule anayechepuka na huku ndoa yake ina amani ,sio kama hayo ya jamaa.
 
Kwa utetezi wa uwezo mdogo wa kufikiri na uchunguzi wa kidaktari, muuaji atapewa kifungo kidogo tofauti na kosa alilolifanya.
Kuna case nyengine lazima hekima ya kisheria itumike.

Mama ameenda kaburini nyuma ameacha watoto watatu chini ya miaka kumi,Baba aende jela hawa watoto watakua ktk mazingira gani?ikiwa upepelezi wa police utaonyesha mwanamke ndiye aliinua taharuki ndani ya nyumba na kusababisha yaliyotokea siioni sababu ya huyu kung’ang’aniwa.
 
Nataka nivunje sheria za ndoa za kikristo,lazima nioe mke wa pili.
Bwana juma kyando laiti angekuwa na mke wa pili sidhani kama yangefika uku


Maamuzi hayo ni Sawa na kuweka amira kwenye mchele. Unalivimbisha tu Tatizo, haulitatui.

Kawaulize waliokutangulia.
 
Huyo jela yake haitakuwa kama angekuwa ameuwa mtu tofauti na mkewe.

Busara ya kawaida tu ikitumika iweje mke amnyime mumewe unyumba halafu atoke arudi akiwa hana maelezo yaliyonyooka na hakuna anayejua alimjibu nini mumewe alipoulizwa alikotoka,anaweza akawa alimwambia nimetoka kugongwa na wanaojua kugonga.

Usicheze na wanawake wa kizazi hiki anaweza akakupa jibu moja ukaomba ardhi ipasuke.


Bado ni sababu dhaifu sana kupelekea mauaji ya kuchinja vipande vipande namna hiyo. Dhaifu mno!!

Kama maneno tu yanakujaza jazba kiasi cha kuona kiza na kutenda ya kinyama basi wewe ni dhaifu mwenye nguvu za mikono na upungufu wa akili.

Kipimo cha utimilifu wa mwanaAdamu ni pamoja na namna gani anaweza kuzitawala hisia zake na kuyaongoza mazingira yake na sio kinyume chake.
 
Ukifikiri kwa kina utagundua chanzo kikuu cha hayo mauaji ni mwanamke kumchoka mume wake, na ni baada ya kuanzisha mahusiano na mwanaume mwingine bioa shaka. Huo unyumba hapo umetumika kama kisingizio tu.

All in all, mtuhumiwa hakutakiwa kujichukulia sheria mkononi na kutekeleza mauaji ya kikatili kiadi hicho. Ila na wapendwa zangu akina dada na wanawake wote! Mkifikia hatua ya kuwachoka wenzi wenu, ni bora mkatafuta namna bora ya kuachana nao kwa amani! Ikiwemo ile ya kwenda mahakamani na kufungua shauri la talaka.

Hayo mambo ya kumnyima mwenzi wako unyumba, halafu kirahisi tu unaenda kumpa mpuuzi wa nje, matokeo yake ndiyo haya sasa. Familia imeparangayika! Watoto wataishi maisha magumu na pasipo na wazazi wao wote wawili! nk.
 
Kwa utetezi wa uwezo mdogo wa kufikiri na uchunguzi wa kidaktari, muuaji atapewa kifungo kidogo tofauti na kosa alilolifanya.
Bora aachiwe tu. Huwezi mfunga kisa mwanamke mchepukaji. Ukimfunga watoto atalea nani?
 
siku ukioa utajua kuna zaidi ya upwiru heshima heshima heshima ndiyo mwanaume anahitaji ndani ya nyumba.
Nipo kwenye hii taasisi tangu 2012!
Watoto wanatupelekesha chini sio issue tena. Mechi za nje mara moja moja napiga.... Ngono imeshapoa kwetu. Akinibania kesho yake natafuta dogodogo imepita. Upande wake hata simfuatilii. Sitaki kujua. Nina makoloni yangu kadhaa ambao wao wana watu wao nawatafuta tu nikitaka mechi. Malipo ya hapa na pale!
 
Bora aachiwe tu. Huwezi mfunga kisa mwanamke mchepukaji. Ukimfunga watoto atalea nani?
Watoto wa wapi tena hapo ndo familia haipo tena yaani uwaulie mama Yao familia iwepo Tena.
Watoto wa hivi wengi uishia kuwa mateja,Malaya,majambazi nk kwa sababu tyr roho ya uharibifu ishawavaa kifo Cha mama Yao kitawatesa maisha Yao yote
 
Unachepuka hadi unaonyesha kiburi, watu wangejua tu kuwa binadamu nae ni mnyama, kuna limits usijaribu kumfikisha mwenzako hadi akaleta upande wa mnyama.
 
Bado ni sababu dhaifu sana kupelekea mauaji ya kuchinja vipande vipande namna hiyo. Dhaifu mno!!

Kama maneno tu yanakujaza jazba kiasi cha kuona kiza na kutenda ya kinyama basi wewe ni dhaifu mwenye nguvu za mikono na upungufu wa akili.

Kipimo cha utimilifu wa mwanaAdamu ni pamoja na namna gani anaweza kuzitawala hisia zake na kuyaongoza mazingira yake na sio kinyume chake.
Linapokuja suala la hekima ya sheria udhaifu huwa hauangaliwi ndiyo maana shambani kwako ikukutwa mimea ya bangi unashtakiwa kwa kupanda madawa ya kulevya siyo kwamba serikali haijui kwamba ukienda kuuza utapata hela itakayoingia kwenye mzunguko mtaani na yenyewe ipate kodi.

Kwa kesi mezani wewe kama ungekuwa ndugu wa mtuhumiwa ungejisikiaje kama ulikuwa unayajua masahibu yote aliyokuwa anayapata kutoka kwa mkewe halafu usikie leo anaenda jela maisha?ungekuwa tayari kuwalea hao watoto walioachwa huku ukijua kabisa kisababishi cha hayo yote ni mke wa ndugu yako?

Kingine hakuna binadamu mkamilifu wote sisi ni watuhumiwa watarajiwa hatujapata tu wasaa wakuonyesha upande wetu mwengine.
 
Plan B is the only way, hasa kwa hizi ndoa za kunyimana bila sababu za msingi. Ukinyimwa wala usiumize kichwa, pigia simu tu then kesho after job pitia pale kula vitu hadi kiu iishe, then rudi home ukae kimya, mda wa kulala geuza mgongo then koroma kabisa...
 
kumbe marehemu alikuwa na makosa,

Kama mmesha anza kumtetea mapema hivi,hata adhabu yake itakuwa ndogo sana.
Hakuna kesi hapo kwanza polisi wachunguze kama alikuwa sawa kiakili wakati matatizo ya afya ya akili yapo zaidi ya 300😆😆
 
Wanawake pia mnatakiwa muishi kwa akili na waume zenu watu wamevurugwa,mtachinjwa sana tu.

Kama migogoro haiishi badala ya kuonesha dharau za waziwazi hapo ndani heri achaneni tu na mkiachana,mwanamke usikubali kukutana na huyo mtalaka wako faragha,watu wanatafuta upenyo wa kukuumiza ni utachinjwa.
 
Back
Top Bottom