mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Hii itakuwa ni bora tukose wote, yawezekana Kuna jamaa huko nje ndo alikuwa kashikilia usukani basi kutwa kucha mwanamke kumdharau mwanaume.....ndo yakatokea ya kutokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilinyimwa wiki nzima kisa eti sijamnunulia saa ya Silva wakati ana Silva shingoni anataka na kwenye mkono lol ila baadae nikaja kumnunulia na nikawa napewa everyday morning and night 🔥Duh baba ulizingua. Kwani wife alikunyima au tamaa zako tu?
Unafikiri huko kijijini zipo za Bure kama kimboka?Upwiru mpaka unaua papuchi zipo mpaka za bure
Duh yaani kama uko kwenye mawazo yangu vile na geita wanavopenda sifa tuombe Mungu apishe mbali.Geita watalijibu Hilo kwa tukio kubwa kupita hilo
DahUnafikiri huko kijijini zipo za Bure kama kimboka?
HeeeeAcheni ujinga wanaume hivi mnadhani kila mwanamke akikataa kukupa analiwa nje?? Wanawake wanaweza kaa na upwiru hata miaka 2...usikute janaume malaya,halitunzi familia lilevi linanuka mdomo unalipaje sasa...
Acheni ujinga wanaume hivi mnadhani kila mwanamke akikataa kukupa analiwa nje?? Wanawake wanaweza kaa na upwiru hata miaka 2...usikute janaume malaya,halitunzi familia lilevi linanuka mdomo unalipaje sasa...
Yule jamaa mwenye Isr aliyemkaba mkewe jana huenda ni jamii ya Juma KyandoAmesema mara baada ya kumkamata Mtuhumiwa Juma Kyando (36) ambaye ni Mume wa Tumaini (Marehemu) kwa kuhusika na mauaji hayo wamebaini kuwa Familia yao ilikuwa na matatizo ya ndoa kwa muda mrefu ambapo Mwanaume amekuwa akinyimwa unyumba lakini pia siku aliyotekeleza mauaji hayo Mke wake alichelewa kurudi nyumbani.