Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Aisee huku Misugusugu Wilayani Kibaha kuna vibaka ambao wanakaa kwenye eneo la Uwanja wa Mpira, majira ya Usiku wa jana wamempora jamaa na kumchoma kisu.
Juzi, pia walimpora jamaa laki 3 na kumpiga, aisee cha ajabu hawa vijana wanalindwa kutokana na uzawa wao, kuna ndugu hawa wawili.
Hawa vijana wana matukio kila siku, kuna mwingine anaitwa sadamu amenyoa kipara yaani hawa ni waendesha makundi ya wezi, Jeshi la Polisi lije litutolee hii shida, vijana hawataki kazi wanavuta bangi na kukaba.
Pia soma:

Hii ni mada ya kukufumbua macho mkulima.
Dhima kuu ya mada hii "Kulinda maslahi binafsi ya mkulima mdogo mdogo"
Kufuatia ukuaji wa teknolojia nnchini na duniani! Mkulima sasa amehama katika ile zama ya kutwanga mpunga katika kinu asili na kuenda katika mashine.
Ni hatua kubwa na nafuu na muokozi wa muda kwa mkulima na mlaji. Lakini nyuma ya shangwe na furaha hii ya kurahisishiwa kazi, limeibuka kundi la wafanya biashara(wamiliki wa mashine) wasio waaminifu wanaotumia mwanya huu kuwaibia wakulima.
Wizi unafanyikaje
Wizi katika mashine za kukoboa mpunga hufanyika hatua kwa...

- Jerry Farms
- kero mashine mchele mpunga wizi
- Replies: 13
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko