GE2025 Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Atoe ushahidi dhidi ya nani aliyefunguliwa mashtaka? Waanze kuwakamata kina Rostam ndipo Polepole aje mahakamani kutoa ushahidi.

Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA, Sura 20 R.E 2019) inawapa Polisi mamlaka ya kuchunguza tuhuma mara zinapotolewa. Wanaposema “tunamuita Polepole aje atoe ushahidi”, inamaanisha wanategemea mtoa tuhuma pekee badala ya wao wenyewe kufanya uchunguzi.
Mkuu haya unayoandika hapa wao hawayajui kabisa, kumbuka tuna jeshe la polisu lililojaza mambulula ambao wao wapo kwa ajili ya kupokea order kutoka kwa viongozi wao wa kisiasa tu basi.

Hao mbululas suala la kuua mtu asiyekuwa na hatia kisa tu wamepewa amri na kiongozi wa kisiasa ni kawaida kabisa.
 
Kwa hiyo kama wameshindwa kumkamata ndo itawezekana kujipeleka mwenyewe kweli..!
 
Mkuu haya unayoandika hapa wao hawayajui kabisa, kumbuka tuna jeshe la polisu lililojaza mambulula ambao wao wapo kwa ajili ya kupokea order kutoka kwa viongozi wao wa kisiasa tu basi.

Hao mbululas suala la kuua mtu asiyekuwa na hatia kisa tu wamepewa amri na kiongozi wa kisiasa ni kawaida kabisa.
Ndio maana Lissu anapigania mabadiliko
 
Hivi mnadhani Polepole atakuwa mjinga kiasi gani ajisalimishe

Hata hivyo, mnavyosema mmefungua jalada la uchunguzi, ni juu ya tuhuma zipi maana Polepole ametaja tuhuma nyingi

Hata hivyo, tangu lini mtu anayetuhumiwa akajifungulia jalada la kujichunguza

Karibu Tanzania uone maajabu
Sale za jeshi la polisi ! Badala wao kuangalia hiyo zabuni na kuangalia kama kesi ilifikishwa kwa DPP ya tuhuma za angela kizigha kuhusu sale za polisi wao wanataka polepole aende hii ni maajabu mengine
 
​

Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo na vielelezo vitakavyothibitisha tuhuma hizo ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa.

=================

Leo Septemba 15, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa lilifungua jalada la uchunguzi na linaendelea kuchunguza tuhuma mbalimbali ambazo amekuwa akitoa Humphrey Herson Polepole toka Julai 2025.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Jeshi limesema Polepole amekuwa akitoa tuhuma hizo Tuhuma hizo kupitia mitandao ya Kijamii. Baada ya kufungua jalada na kuanza uchunguzi, Jeshi la Polisi mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo/ushahidi na vilelezo vitakavyo thibitisha tuhuma hizo ili kuwezesha hatua zingine za kisheria ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria na ndivyo utaratibu wa kisheria ulivyo.​
​
Kudhani kwamba Watanzania wengine hawana akili ila nini huo ni umama.
 
Leo Jumatatu tarehe 15/09/2025 Jeshi la Polisi la Tanzania limetoa taarifa kwa umma kwamba limekua likifuatilia taarifa zinazotolewa na Balozi aliyejiuzuru Ndugu Humprey Polepole toka mwezi Julai, 2025.

Jeshi limeeleza kwamba tuhuma hizo zimekua zikiashiria uwepo wa makosa ya jinai, ambayo yanahitajika kuthibitishwa mbele ya Mahakama.

Hivyo baada ya kufungua jalada la uchunguzi, Jeshi la Polisi limemuelekeza Ndugu Polepole kufika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, ili aweze kutoa maelezo/ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekua akizitoa kwa njia ya mtandao.

View attachment 3472566

Waanze na waliompiga risasi Lissu , mwenyewe wanaye gerezani
 
Mbona sijaskia sehemu waliyosema ajisalimishe, kaambiwa afike kutoa maelezo na ushahidi hajaambiwa ajisalimishe, kujisalmisha maana yake ni tofauti

Kwa sababu hana tuhuma ya kujibu...

Kilichotolewa ni wito tu nadhani, wanahitaji akawape madini "ushahidi"...
 
​

Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo na vielelezo vitakavyothibitisha tuhuma hizo ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa.

=================

Leo Septemba 15, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa lilifungua jalada la uchunguzi na linaendelea kuchunguza tuhuma mbalimbali ambazo amekuwa akitoa Humphrey Herson Polepole toka Julai 2025.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Jeshi limesema Polepole amekuwa akitoa tuhuma hizo Tuhuma hizo kupitia mitandao ya Kijamii. Baada ya kufungua jalada na kuanza uchunguzi, Jeshi la Polisi mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo/ushahidi na vilelezo vitakavyo thibitisha tuhuma hizo ili kuwezesha hatua zingine za kisheria ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria na ndivyo utaratibu wa kisheria ulivyo.​
​

Kwamba?

"Baada ya kufungua jalada na kuanza uchunguzi, Jeshi la Polisi mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo/ushahidi na vilelezo vitakavyo thibitisha tuhuma hizo ili kuwezesha hatua zingine za kisheria ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria na ndivyo utaratibu wa kisheria ulivyo."

Wonders shall never end!
 
Si walisema huwa hawafanyii kazi taarifa za kwenye mtandao?

Lile zuio alilotoa Msigwa jana ilikuwa ni mkwara na maandalizi ya kumpa wito.

Mimi naona kabla hawajasema aende waeleze pia kwanini siku ya kwanza alipojouzulu na kuitisha press walivamia makazi ya dada yake na kumpiga.

Pia waliotuhumiwa wote watuthubitishie wameenda kuandika maelezo kwa DCI kuanzia Abdul na wenzake.

Baada ya kumfuatilia kimya kimya kwa njia za panya sasa wamegonga mwamba ndio wameona wamuite katika njia zilizo rasmi.

No reforms no election.

Free Lissu.
 
​

Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo na vielelezo vitakavyothibitisha tuhuma hizo ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa.

=================

Leo Septemba 15, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa lilifungua jalada la uchunguzi na linaendelea kuchunguza tuhuma mbalimbali ambazo amekuwa akitoa Humphrey Herson Polepole toka Julai 2025.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Jeshi limesema Polepole amekuwa akitoa tuhuma hizo Tuhuma hizo kupitia mitandao ya Kijamii. Baada ya kufungua jalada na kuanza uchunguzi, Jeshi la Polisi mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo/ushahidi na vilelezo vitakavyo thibitisha tuhuma hizo ili kuwezesha hatua zingine za kisheria ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria na ndivyo utaratibu wa kisheria ulivyo.​
​
Badala ya kumtafuta kwa kosa la kimtandao kwa kuzusha mambo na kuleta taharuki, mnatoa wito wa kuja kwamba atoe ushahidi. Mbona wengine mnawakamata na kuwashtaki huyu mnataka atoe ushahidi wa jambo gani?
 
Kwa sababu hana tuhuma ya kujibu...

Kilichotolewa ni wito tu nadhani, wanahitaji akawape madini "ushahidi"...
Anaweza kuwatumia huo ushahidi kwa email, DM, live video conversation kupitia Facebook, YouTube, instagram na twitter.

Amesema atakuwa anaongea marambili kwa wiki. Wakibisha atawaletea ushahidi usio na shaka.

Jeshi la polisi, DPP, usalama, JWTZ watege sikio mara mbili kwa wiki mitandaoni kuchukua ushahidi. Wakihitaji taarifa, ufafanuzi zaidi wamtumie DM.
 
Wanaumwa ma.vi hawa. Nani ajisalimishe?
 
Sale za jeshi la polisi ! Badala wao kuangalia hiyo zabuni na kuangalia kama kesi ilifikishwa kwa DPP ya tuhuma za angela kizigha kuhusu sale za polisi wao wanataka polepole aende hii ni maajabu mengine
Kama Mkuu wao alikutwa na B kwenye akaunti, kuna jipya gani anaweza kusema
 
Back
Top Bottom