Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Una shida inayokaribiana na ukosefu akiliMbona sijaskia sehemu waliyosema ajisalimishe, kaambiwa afike kutoa maelezo na ushahidi hajaambiwa ajisalimishe, kujisalmisha maana yake ni tofauti

Hii nchi ukitaka kua salama kua mwizi wa mali za Umma tofauti na hapo utapigwa virungu na Polisi kisa umeenda mahakama kusikiliza kesi ya LissuPale serikali ya kifisadi inapopambana na wafichua ufisadi!!.
Kumbe kumpata na siyo kumkamataJeshi la polisi... limekuwa likifanya jitihada za kumpata...
Huna akili kabisaUna shida inayokaribiana na ukosefu akili
Na wewe kwa mawazo yako unafikiri wanamtaka aje kutoa maelezo tu? Huyo Polepole akienda kutoa maelezo ni sawa tu na amejisalimishaMkuu umeisikiliza hiyo clip lakini?
Hajaambiwa ajisalimishe bali ameambiwa afike ili kutoa ushahidi na maelezo zaidi,
Hivyo ndivyo mimi nilivyoielewa hiyo clip.
Wewe nani kakwambia kua nimeandika kwa mawazo yangu?Na wewe kwa mawazo yako unafikiri wanamtaka aje kutoa maelezo tu? Huyo Polepole akienda kutoa maelezo ni sawa tu na amejisalimisha
Kilichoelezwa kwenye clip kila mtu anakijua na lengo halisi la hao polisi kila mtu analijua.Wewe nani kakwambia kua nimeandika kwa mawazo yangu?
Mimi nimeelezea clip ilivyosema tu,tha's all.
Hujawahi kupiga kelele dhidi ya unyama wanaoufanya polisi dhidi ya raiaHuna akili kabisa
.
Jeshi la Polisi limemwelekeza aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) atoe maelezo na ushahidi kuhusiana na tuhuma ambazo amekuwa akizitoa kupitia mitandao ya kijamii. Jeshi hilo limesema mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo na vielelezo vitakavyothibitisha tuhuma hizo ili hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa.
=================
Leo Septemba 15, 2025 Jeshi la Polisi limetoa taarifa kuwa lilifungua jalada la uchunguzi na linaendelea kuchunguza tuhuma mbalimbali ambazo amekuwa akitoa Humphrey Herson Polepole toka Julai 2025.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo Jeshi limesema Polepole amekuwa akitoa tuhuma hizo Tuhuma hizo kupitia mitandao ya Kijamii. Baada ya kufungua jalada na kuanza uchunguzi, Jeshi la Polisi mbali na kukusanya ushahidi, limekuwa likifanya jitihada za kumpata ili aweze kutoa maelezo/ushahidi na vilelezo vitakavyo thibitisha tuhuma hizo ili kuwezesha hatua zingine za kisheria ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria na ndivyo utaratibu wa kisheria ulivyo.
Kwahiyo unataka niwe upande wako hata ukipotosha? Mimi sikai upande wa ujinga ukifanya wewe ujinga nitakwambia na hata mtu yoyote yule, sijawahi kuwa upande wa majizi ya Ccm wala upande wa nyumbu wa ChademaHujawahi kupiga kelele dhidi ya unyama wanaoufanya polisi dhidi ya raia
Hujawahi kuwaza kama nchi inahitaji reforms
Hujawahi kusimama upande wa haki.
Always unasimama upande wa watesi, wauaji na watawala wasioheshimu Katiba na sheria za nchi.
Sasa nani kati yangu na wewe ana kamasi ktk sehemu inayopaswa kukaa ubongo?
Mimi sikujadili mawazo ya watu bali nimeelezea clip ilivyosema,na clip haikutumia neno kujisalimisha,Kilichoelezwa kwenye clip kila mtu anakijua na lengo la hao polisi kila mtu analijua
Mimi pia nilitaka kukurekebisha tu ujue tumeelewa clip ilivyosema na tunajua a lengo mahususi la polisi. Kwaiyo hatuna haja ya ufafanuzi wakoMimi sikujadili mawazo ya watu bali nimeelezea clip ilivyosema,na clip haikutumia neno kujisalimisha,
Kuhusu kujua lengo la Polisi au kutokujua,hiyo ni issue nyingine kabisa,
Naona umeamua kuwasilisha mawazo ya watu wote humu kua wote wamejua lengo la polisi kama ulivyojua wewe!
Acha kuongea kwa wingi,jiongelee wewe nafsi yako,tumejua,tumeelewa,hatuna haja ya ufafanuzi,wewe ni msemaji wa wana JF humu mpaka ujumuishe na wengine? Soma comment 7# huyo ni mmojawapo ambae nae hajasikia neno kujisalimisha,Mimi pia nilitaka kukurekebisha tu ujue tumeelewa clip ilivyosema na tunajua a lengo mahususi la polisi. Kwaiyo hatuna haja ya ufafanuzi wako