GE2025 Polisi: Polepole afike Ofisi ya Mpelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuthibitisha Tuhuma anazozitoa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nashauri w
watuhumiwa wakamatwe, wafunguliwe mashtaka wakati upelelezi ukiendelea kama ambavyo hufanyika katika kesi zingine.
Huyu bwana atapewa summons na Mahakama aende akatoe huo ushahidi
 
Kuna watu wanataka Samia na Kikwete wafungwe.

Kama hili Jarida lipo kweli basi kuna namna watu wenye akili wameanza kumset Samia na washirika wake
 
Sio polepol ninaemjua
 
Kesi ya jinai inaanzia polisi ushahidi unakusanywa na polisi mahakamani unawasilishwa
Asante.
Wakati huo wote Mtuhumiwa/Watuhumiwa wanakuwa wamekamatwa ama laa?
Ikiwa wanakuwa wamekamatwa kwa kudaidia kutoa maelezo ya madai wanayotuhumiwa nayo nini huwa kinazuia hatua hizo?
 
Asante.
Wakati huo wote Mtuhumiwa/Watuhumiwa wanakuwa wamekamatwa ama laa?
Ikiwa wanakuwa wamekamatwa kwa kudaidia kutoa maelezo ya madai wanayotuhumiwa nayo nini huwa kinazuia hatua hizo?
Mtuhumiwa lazima akamatwe kuhojiwa na kama kesi ina dhamana anaweza kudhaminiwa na akawa nje kwa dhamana ya polisi hadi kesi itakapopelekwa mahakamani
 
Walitakiwa rostam akamatwe ili pia huo mktaba wake na Makaa ya mawe uangaliwe je analipa Kodi na alinunua kihalali, ama Kodi analipa mnyonge
 
Polepole angejikita kwenye Hoja za kinachoendelea sasa na chenye direct impact ya sasa hivi ya Mwananchi; mfano case in point Haya mambo ya Serikali kupigia Chapuo Gesi za Watu Binafsi na Makampuni ya Nje badala ya Kumalizia Umeme na kushusha bei; Haya ya He Say / She Say au fulani alitaka kumuua nani ni shutuma ambazo ni vigumu kudhibitisha...; Hizo hata kama angeendelea kuzitoa ziwe kama extra / changamsha habari lakini sio main topic; Ni Vigumu shutuma hizo au washutumiwa hao kuwa liable beyond reasonable doubt in the Court of Law; Sanasana ni kujiweka kwenye uwezekano wa kushitakiwa kwa Slander...

Anyway vita hivi Judge and Jury inabidi iwe Public kwenye Court of Public Opinion na ni Vema kuunganisha ujambazi unaofanyika na matatizo yanayowakumba currently na sio Hearsays; Na ushushushu wake angewekeza zaidi mfano kwenye ile Mikataba iliyosainiwa au inayoendelea kusainiwa ambayo impact yake tutakuja kuisikia kwa The Future Polepole (miaka kadhaa ijayo) wakati tumepigika na tunaendelea kupigika...
 
Jalada haliwezi kuwa la tuhuma mbalimbali, wao waseme jalada lina tuhuma ipi?

Mbona ujanja ujanja mwingi sana
 
Mkuu umeisikiliza hiyo clip lakini?
Hajaambiwa ajisalimishe bali ameambiwa afike ili kutoa ushahidi na maelezo zaidi,

Hivyo ndivyo mimi nilivyoielewa hiyo clip.
Wewe ndio hujaelewa ' Jeshi la polisi limekuwa likifanya jitihada za kumpata" maana yake linamtafuta.
Neno "kujisalimisha" kwa anae tafutwa lipo sawa.
 
Jeshi Hili hili Lililoshindwa Kuwakamata Waliomteka MO dewji, Hili hili Lililoshindwa kuwakamata walipiga Risasi Lissu

CUBA naamini Wanajua Hii mbinu Ni Ya Kitoto kabisa... Jeshi letu Halina Intelligencia ya KuJua Ayasemayo Balozi ni Kweli au Laah ?
 
Hawa watu (polisi wetu) kwa hakika ni wapuuzi kweli kweli....

Ni kama vile vichwa vyao vimejaa kamasi tu, na sio akili zenye ufahamu...

Hata akili ya kujua tu, huyu bwana alifanya maandalizi mapema kabla ya kuanzisha vita hii ya kumng'oa Samia na genge lake la wahuni...

Genge limekamatwa kwelikweli. Na tunajua members wa genge liko mpaka;

✔ Huko polisi, wakijiita ni mapolisi kumbe ni wahuni na wezi wa mali zetu za umma tu...

✔ Mahakamani wakijiita kuwa ni majaji au mahakimu kumbe ni wahuni na wezi wa mali za umma tu

✔ Wako mpaka mpaka magereza wakijiita askari magereza tu kumbe ni wahuni na wauaji tu...

✔ In fact wako kwenye kila sekta na idara za umma. Lakini tutawapukutisha na kuwaua wote na kuisafisha nchi yetu...

Angalia sasa hawa polisi wetu. Wanajifunua wazi kuwa hawana akili kabisa...

Wanafanya kazi ya kisheria kwa kuzikanyaga sheria ili kuumiza watu wa haki na kulinda majizi na majambazi ya serikalini akiwemo Bi Samia
 
Huo ni mtego polepole usiingie mkenge ukajileta kama wanataka ushawihidi wapoge video call over
 
Mbona sijaskia sehemu waliyosema ajisalimishe, kaambiwa afike kutoa maelezo na ushahidi hajaambiwa ajisalimishe, kujisalmisha maana yake ni tofauti
Jeshi la polisi... limekuwa likifanya jitihada za kumpata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…