POLISI tafadhali mshughulikie huyu anahatarisha Amani yetu, isiwe mnaiona Chadema tu ingawa Chadema haijawahi hatarisha Amani

POLISI tafadhali mshughulikie huyu anahatarisha Amani yetu, isiwe mnaiona Chadema tu ingawa Chadema haijawahi hatarisha Amani

Clip speaks for itself
Screenshot_20260514-220943~2.png
 
Wanadai ati bosses are always right. Ila mda wao u karibu sana.
 
Hawa watu wanakuwaga Ni yatima!?🤔maana najua kama una ndugu sipati picha hiizo calls utakazopokea kukusema
 
"Angewamaliza"

Sijui angewamaliza kwa njia gani. Kwa uchawi? Risasi kama za 29/10 - 4/11/2025 zilizoua zaidi ya ndugu zetu 10,000?

Hawa bila shaka Mungu Yehova kawanyang'anya akili na ufahamu na sasa wanajiropokea na kujishitaki wenyewe tu...!!
 
Uzuri wa tekenolojia inatunza kumbukumbu mazeee......
Hawa wote kauli zao ndio zitakua ushahidi siku tunawaburuza kwa pilato
 
CCM hopeless kweli, wana jeshi, polish na TISS lakini wanaigopa chadema hatari. Wamebaki hawana mvuto kwa wananchi. Tuendelee kuwazomea maana ni wezi na wauwaji. Mama Yao alisema tuwazomee
 
"Angewamaliza"

Sijui angewamaliza kwa njia gani. Kwa uchawi? Risasi kama za 29/10 - 4/11/2025 zilizoua zaidi ya ndugu zetu 10,000?

Hawa bila shaka Mungu Yehova kawanyang'anya akili na ufahamu na sasa wanajiropokea na kujishitaki wenyewe tu...!!
Hawa wapumbavu wakishindwa kujibu hoja wanakimbilia risasi na mabomu ya polisi.
 
Back
Top Bottom