POLISI tafadhali mshughulikie huyu anahatarisha Amani yetu, isiwe mnaiona Chadema tu ingawa Chadema haijawahi hatarisha Amani

Clip speaks for itself
Hizi ndio KAULI ambazo watawala wanazipenda.

Chochote utakachozungumza, as long as uko upande wao. Basi kwao hakina tatizo.

Ila kinyume na hapo, tutazika mwili bila kichwa.
 
Wanadai ati bosses are always right. Ila mda wao u karibu sana.
 
Hawa watu wanakuwaga Ni yatima!?🤔maana najua kama una ndugu sipati picha hiizo calls utakazopokea kukusema
 
"Angewamaliza"

Sijui angewamaliza kwa njia gani. Kwa uchawi? Risasi kama za 29/10 - 4/11/2025 zilizoua zaidi ya ndugu zetu 10,000?

Hawa bila shaka Mungu Yehova kawanyang'anya akili na ufahamu na sasa wanajiropokea na kujishitaki wenyewe tu...!!
 
Uzuri wa tekenolojia inatunza kumbukumbu mazeee......
Hawa wote kauli zao ndio zitakua ushahidi siku tunawaburuza kwa pilato
 
CCM hopeless kweli, wana jeshi, polish na TISS lakini wanaigopa chadema hatari. Wamebaki hawana mvuto kwa wananchi. Tuendelee kuwazomea maana ni wezi na wauwaji. Mama Yao alisema tuwazomee
 
"Angewamaliza"

Sijui angewamaliza kwa njia gani. Kwa uchawi? Risasi kama za 29/10 - 4/11/2025 zilizoua zaidi ya ndugu zetu 10,000?

Hawa bila shaka Mungu Yehova kawanyang'anya akili na ufahamu na sasa wanajiropokea na kujishitaki wenyewe tu...!!
Hawa wapumbavu wakishindwa kujibu hoja wanakimbilia risasi na mabomu ya polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…