Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Yanga naona ubunifu wa kufungua ngome ya polisi umekuwa mdogo sana.

Bora leo Lamine Moro alivyo pumzishwa mana hawaelewani kabisa na mwamnyeto.

Ngoja tuone ila mechi ngumu sana hii
 
Angalau Leo yanga wana utulivu kidogo
 
CAF waliangalie hili goli, kisha liwe Goli la wiki.
Welldone Fiston
 
Back
Top Bottom