Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

CAF waliangalie hili goli, kisha liwe Goli la wiki.
Welldone Fiston
Bahati mbaya hii sio michuano ya CAF, na timu hizi zinazocheza hazipo kwenye kundi lolote 😁😁😁
 
Yanga wanafunga goli la Offside ya wazi

Wabongo tunapenda mpira ila sheria hatuzijui.

Tuisila kapokea pasi akiwa onside, kamtoka beki, fiston nae kawatoka beki. Wamebaki wao na kipa, Tuisila anampasia Fiston, anafunga.

Inakuaje Offside hapo?!
 
Fiston kaotea,angalia wakati anapewa pasi tayari alikuwa offside!Ukitaka kujiridhisha subiri kipyenga cha mwisho utapata majibu!
 
Fiston kaotea,angalia wakati anapewa pasi tayari alikuwa offside!Ukitaka kujiridhisha subiri kipyenga cha mwisho utapata majibu!
Hiyo itakua sheria yako na labda sio mfuatiliaji wa mpira. Mkisha kuwa wachezaji wa timu moja zaidi ya mmoja mmewatoka mabeki hata mpiagiane pasi elfu kumi hakuna Offside hapo.

Angalia goli la pili la Tp Mazembe utajifunza kitu hapo.

Mtani utasikiliza kipindi cha michezo redio maria😁😁😁 kule wanajua zaid kuliko yule kitenge🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Sawa mtani naona siku hizi timu yetu imeacha kulilia penati, hii ni hatua nzuri sana. kudos kwa benchi la ufundi
 
🤣🤣🤣🤣
Sawa mtani naona siku hizi timu yetu imeacha kulilia penati, hii ni hatua nzuri sana. kudos kwa benchi la ufundi
Tunasubiri match yenu nanyi ili tuwambie wamisri na wakongo kuwa nyinyi huku kwetu tz n underdog 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…