Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Baki mwenyewe tu mtani, nadhani dunia nzima ni wewe tu mwenye upendo wa alifa na omega
Sina wema huo mtani, ebu punguza kidogo uwagawie wengine😁 mimi huu wema nilio nao unanitosha kabisa kutumia had mwakani, alafu lete kisu nikukatie upendo kidogo ukale na wanao leo uck🤣🤣🤣
 
Aaeeh aaeeh Shetani anaona nomaa!!


In Gnako's voice
 
Hili goli ni tofauti kabisa na goli la yanga.Goli la yanga ni offside ya wazi kabisa
Hiyo itakua sheria yako na labda sio mfuatiliaji wa mpira. Mkisha kuwa wachezaji wa timu moja zaidi ya mmoja mmewatoka mabeki hata mpiagiane pasi elfu kumi hakuna Offside hapo.

Angalia goli la pili la Tp Mazembe utajifunza kitu hapo.

 
Tatizo mmesajili wakulima, watu wanafukua na kukausha nyasi badala ya kucheza mpira
 
Hiyo itakua sheria yako na labda sio mfuatiliaji wa mpira. Mkisha kuwa wachezaji wa timu moja zaidi ya mmoja mmewatoka mabeki hata mpiagiane pasi elfu kumi hakuna Offside hapo.

Angalia goli la pili la Tp Mazembe utajifunza kitu hapo.

 

Attachments

  • 2708951_IMG-20210307-WA0148.jpg
    36.6 KB · Views: 1
Yanga wanachofanya ni upumbav kabisa...
Ndo tushalikosa kombe..
 
Lazima Mwakalu800, Kaze na Msolopa mwaka huu watolewe Kafara 😂😂
 
Usikate tamaa mapema si bado unaongoza ligi? Tatizo liko wapi?
 
Wewe ndio umesema ukweli, na msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Usisahau tu ingawa tunasua sua kuoata matokeo, lakini msimu huu tayari tuna Kombe letu la Mapinduzi huku nyinyi mna lile kombe mlilo jinunulia wenyewe!!
Naona umesahau ngao ya hisani iliyofungua league, pole sana, halafu kwanini CAf kwenye ranking wanawaweka chini wakati mna kombe la mapinduzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…