Hayo hatutaki kujua. Si atuachie team yetu.Kwani kaze ndiye aliyesajili hao wachezaji wengine walio mizigo?
Hongera watani mmeshinda mbili, kuongea ni rahisi mnoyanga anashinda mechi hii 2-0
Tuna ngao ya Jamii wewe UtopoloUsisahau tu ingawa tunasua sua kuoata matokeo, lakini msimu huu tayari tuna Kombe letu la Mapinduzi huku nyinyi mna lile kombe mlilo jinunulia wenyewe!!
Mna timu ya kuachiwa?Hayo hatutaki kujua. Si atuachie team yetu.
Au nasema uongo utopolo wenzangu? Kama vipi hata yule engineer mwenye masikio pia atuachie team yetu
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]Usisahau tu ingawa tunasua sua kuoata matokeo, lakini msimu huu tayari tuna Kombe letu la Mapinduzi huku nyinyi mna lile kombe mlilo jinunulia wenyewe!!
[emoji196][emoji196][emoji196]Usisahau tu ingawa tunasua sua kuoata matokeo, lakini msimu huu tayari tuna Kombe letu la Mapinduzi huku nyinyi mna lile kombe mlilo jinunulia wenyewe!!
HiviNimeanza kuingiwa huruma
Asante mtani wanangu wameshiba sana leo hata jojo awataki kabisaSina wema huo mtani, ebu punguza kidogo uwagawie wengineπ mimi huu wema nilio nao unanitosha kabisa kutumia had mwakani, alafu lete kisu nikukatie upendo kidogo ukale na wanao leo uckπ€£π€£π€£
Mkuu nakuunga mkono 100%Usisahau tu ingawa tunasua sua kuoata matokeo, lakini msimu huu tayari tuna Kombe letu la Mapinduzi huku nyinyi mna lile kombe mlilo jinunulia wenyewe!!
Ajabu sana mkuuYanga ndo timu pekee duniani inayoongoza ligi huku IKIWA IMEPOTEZA MATUMAINI YA UBINGWA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna nini tena?KumekuchaaView attachment 1719669
Umepata habari yule bwana katimuliwa etπππAsante mtani wanangu wameshiba sana leo hata jojo awataki kabisa
Ndiyo mtani niezipataUmepata habari yule bwana katimuliwa etπππ
Mtani ile ni tarifa ya kweli maana imepostiwa official page za yanga zote ikiwemo ya fbN
Ndiyo mtani niezipata
Ila nina hualakini mbona barua haijasainiwa na mwenyekiti au makamu? mtani acha kuleta janja janja basi