Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Sheikh Amri Abeid Stadium | VPL

Yanga ni kama dem asiyekuwa na tako muda wote hana furaha hajiamin
Sasa team inaongoza ligi imefungwa mechi moja tu alafu mashabiki wake hawana furaha
 
Usisahau tu ingawa tunasua sua kuoata matokeo, lakini msimu huu tayari tuna Kombe letu la Mapinduzi huku nyinyi mna lile kombe mlilo jinunulia wenyewe!!
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
IMG-20210307-WA0152.jpg
 
Sina wema huo mtani, ebu punguza kidogo uwagawie wengine😁 mimi huu wema nilio nao unanitosha kabisa kutumia had mwakani, alafu lete kisu nikukatie upendo kidogo ukale na wanao leo uck🤣🤣🤣
Asante mtani wanangu wameshiba sana leo hata jojo awataki kabisa
 
N

Ndiyo mtani niezipata
Ila nina hualakini mbona barua haijasainiwa na mwenyekiti au makamu? mtani acha kuleta janja janja basi
Mtani ile ni tarifa ya kweli maana imepostiwa official page za yanga zote ikiwemo ya fb
 
Back
Top Bottom