Polisi Tanzania hawaiamini Mahakama? Wanahukumu kifo wenyewe. Washaua watu 4

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Polisi wameua watu 4 kwa siku moja.

Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya.

Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia.

Nchi haina mwenye.

Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya majibizano ya mashambulizi ya risasi kati yao na askari katika eneo la Ilembo mkoani Songwe.

Watuhumiwa hao ni Eliuta (Mapunda), Abdul (Chiba), Justine na Bruce Mwasenga.

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuripotiwa kumshambulia na kupelekea kifo cha William Mwampashi (45).
 
Huu ujinga hata wa kuunga mkono majambazi walioua mlinzi wa duka ni wa hali ya juu sana.Ukiwa na upeo mdogo wa akili wa kufikia hata kuunga mkono majambazi sugu waliowahi kufungwa kwa kuua na ujambazi wa silaha kwa sababu tu unapinga Serikali inabidi upimwe akili.Commonsense is not common.
 
Evidence? Fine polisi mi makamnazi, hawapashwi kuwaua! Were they armed?? Si ajabu ni wanachama wa chadema
Yes they were armed.Na waliuawa katika majibishano ya risasi na Polisi.
Ni ajabu unawanasibisha na wanachama wa Chadema.Kwani wanachama wa Chadema wanakuwa pia majambazi wa silaha?Just wondering?
 
Polisi wameua watu 4 kwa siku moja.

Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya.

Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia.

Nchi haina mwenye.

Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya majibizano ya mashambulizi ya risasi kati yao na askari katika eneo la Ilembo mkoani Songwe.

Watuhumiwa hao ni Eliuta (Mapunda), Abdul (Chiba), Justine na Bruce Mwasenga.

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuripotiwa kumshambulia na kupelekea kifo cha William Mwampashi (45).
Hivi si ndio huko Mbozi polisi walishusha mtuhumiwa kwenye gari lao na kumhamuru akimbie alafu wala mlengwa na kumuua kwa risasi?
 
Huu ujinga hata wa kuunga mkono majambazi walioua mlinzi wa duka ni wa hali ya juu sana.Ukiwa na upeo mdogo wa akili wa kufikia hata kuunga mkono majambazi sugu waliowahi kufungwa kwa kuua na ujambazi wa silaha kwa sababu tu unapinga Serikali inabidi upimwe akili.Commonsense is not common.
Haki ya kwanza ya mwanadamu ni haki ya kuishi (uhai), hata kama ni mwizi.

Mbona hawajamuua kwa risasi Samia ambaye kaua watu zaidi ya 10,000??
Ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kuunga mkono mauaji yanayofanywa na polisi.

Polisi wamepewa mafunzo ya kukamata wahalifu. Nyambafu!
 
Uwezo wako wa kufikiri ndio unakufanya utapike unachotapika.Majambazi yanayoshambulia askari kwa silaha za moto wewe na ujinga wako unataka wapewe maua?Mafunzo ya kukamata majambazi yanayowashambulia kwa risasi ni yapi kwa mfano.Hakuna Nchi yeyote duniani inayowavumilia
majambazi yanayoshambulia askari Polisi kwa silaha za moto.Exposure yako ni ndogo.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
Mwanaharakati uchwara.
 
Uwezo wako wa kufikiri ndio unakufanya utapike unachotapika.Majambazi yanayoshambulia askari kwa silaha za moto wewe na ujinga wako unataka wapewe maua?Mafunzo ya kukamata majambazi yanayowashambulia kwa risasi ni yapi kwa mfano.Hakuna Nchi yeyote duniani inayowavumilia
majambazi yanayoshambulia askari Polisi kwa silaha za moto.Exposure yako ni ndogo.
Wisdom is chasing you but are always faster.
Mwanaharakati uchwara.
Mbwa wa mama wako bize kubwatuka mitandaoni kumtetea, wakati mwenyewe katulia zake Mkunazini anakunwa na mkunaji wake
 
Polisi wameua watu 4 kwa siku moja.

Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya.

Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia.

Nchi haina mwenye.

Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya majibizano ya mashambulizi ya risasi kati yao na askari katika eneo la Ilembo mkoani Songwe.

Watuhumiwa hao ni Eliuta (Mapunda), Abdul (Chiba), Justine na Bruce Mwasenga.

Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuripotiwa kumshambulia na kupelekea kifo cha William Mwampashi (45).
Hii taarifa haijakaa sawa. Inachanganya.

Hao waliouliwa walikuwa majambazi waliomvamia mtu kwa silaha?

Polisi walipotokea, kukawa na majibishano ya silaha kati ya majambazi na polisi?

Kama hivyo ndivyo, habari hii isichanganywe kabisa na ukombozi wa Tanzania kutoka mikononi mwa majambazi, ambao ni akina Samia wanaowatumia polisi hao hao kuwaua waTanzania wanaotafuta ukombozi wa nchi yao toka mikononi mwa majambazi.
 
Hivi si ndio huko Mbozi polisi walishusha mtuhumiwa kwenye gari lao na kumhamuru akimbie alafu wala mlengwa na kumuua kwa risasi?
Tukio hilo naamini kuna siku litatazamwa kwa karibu zaidi ijulikane ni polisi gani hao wenye uovu wa namna hii. Video ilionyesha tukio hilo laivu kabisa..

Naamini kuna siku tu, tukio hilo la kinyama litatazamwa vizuri.
 
Mapenzi na chuki za KIPUMBAVU/ULOFA zinafanya kila kitu cha kinachofanywa na wanaoitumikia serikali hii ukione hivyo.
Jambazi nimbembeleze ili kumkamata?
Ninakubaliana nawe.
Lakini usisahau pia tuna majambazi yanayokalia madaraka sasa hivi; nayo waTanzania "wayabembeleze" ili yaachie madaraka ya kuwafanyia ujambazi waTanzania?

Nimekusoma vizuri huko juu kwenye mstari wako wa mwanzo kama maelezo yako ni kama nilivyoyaelewa kabla ya huo mstari wa mwisho, ambao ninakubaliana nawe.
 
Huu ujinga hata wa kuunga mkono majambazi walioua mlinzi wa duka ni wa hali ya juu sana.Ukiwa na upeo mdogo wa akili wa kufikia hata kuunga mkono majambazi sugu waliowahi kufungwa kwa kuua na ujambazi wa silaha kwa sababu tu unapinga Serikali inabidi upimwe akili.Commonsense is not common.
Nakazia
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Bila ya kuyatetea hayo majambazi; lakini unasahau kuwa hiyo unayoiita wewe serikali yenyewe sasa hivi ni majambazi; tena mabaya zaidi, ambayo yanadiriki kuua maelfu ya waTanzania ili yabaki kwenye madaraka!

Sasa yanapopambana majambazi kwa majambazi ni vigumu mTanzania asifu upande upi wa ujambazi huo.
Ni bora yamalizane yenyewe kwa yenyewe.
 
Huu ujinga hata wa kuunga mkono majambazi walioua mlinzi wa duka ni wa hali ya juu sana.Ukiwa na upeo mdogo wa akili wa kufikia hata kuunga mkono majambazi sugu waliowahi kufungwa kwa kuua na ujambazi wa silaha kwa sababu tu unapinga Serikali inabidi upimwe akili.Commonsense is not common.
Ukikuwepo? Hayo majibizano uliyaona? Unaunga mkono Polisi kujichukulia Sheria mkono? Mahakama zina kazi gani?
 
Evidence? Fine polisi mi makamnazi, hawapashwi kuwaua! Were they armed?? Si ajabu ni wanachama wa chadema
Mleta mada katoa taarifa nusu, hao jamaa wamekutwa na bunduki, risasi na silaha za jadi
 
Back
Top Bottom