pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Muulize Rais wakoNa walioua watanzania 10,000 tunawaitaje!?
Muulize Rais wakoNa walioua watanzania 10,000 tunawaitaje!?
Majambazi huwa waashirikiana na Polisi.. Sasa wanapowakamata, inalazimu wawaue ili kupoteza Ushahidi. Sababu wakiwaacha hai wanaweza kusema Polisi wanaoshirikiana nao.Mtihani huwa ni pale polisi anatakiwa kulenga mguu wa jambazi Ili kumdisarm wakati Jambazi akilenga kichwa Cha polisi.
Majambazi wafuate kanuni za kivita,
Wacheze fair kuepuka hizi lawama.
Mfano nzuri jambazi akikuvamia, atafuata haki za binadamu?
Ngumu sana hii.