figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Evidence? Fine, polisi si mahakama, hawapashwi kuwaua! Were they armed?? Si ajabu ni wanachama wa chademaMzee sio wanadhaniwa kuwa majambazi yani hayo ni majambazi totally yani yameua mpaka mlinzi wa duka la simu na kuchukua simu janja zaidi 20 mpya
Hapa mbona uzi wako unajipiga mweleka wenyewe?baada ya majibizano ya mashambulizi ya risasi kati yao na askari katika eneo la Ilembo mkoani Songwe.
Yes they were armed.Na waliuawa katika majibishano ya risasi na Polisi.Evidence? Fine polisi mi makamnazi, hawapashwi kuwaua! Were they armed?? Si ajabu ni wanachama wa chadema
Na walioua watanzania 10,000 tunawaitaje!?Mzee sio wanadhaniwa kuwa majambazi yani hayo ni majambazi totally yani yameua mpaka mlinzi wa duka la simu na kuchukua simu janja zaidi 20 mpya
Hivi si ndio huko Mbozi polisi walishusha mtuhumiwa kwenye gari lao na kumhamuru akimbie alafu wala mlengwa na kumuua kwa risasi?Polisi wameua watu 4 kwa siku moja.
Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya.
Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia.
Nchi haina mwenye.
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya majibizano ya mashambulizi ya risasi kati yao na askari katika eneo la Ilembo mkoani Songwe.
Watuhumiwa hao ni Eliuta (Mapunda), Abdul (Chiba), Justine na Bruce Mwasenga.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuripotiwa kumshambulia na kupelekea kifo cha William Mwampashi (45).
Tena ukute wameshikishwa silaha zenyewe baada ya kuuliwa!Evidence? Fine polisi mi makamnazi, hawapashwi kuwaua! Were they armed?? Si ajabu ni wanachama wa chadema
Haki ya kwanza ya mwanadamu ni haki ya kuishi (uhai), hata kama ni mwizi.Huu ujinga hata wa kuunga mkono majambazi walioua mlinzi wa duka ni wa hali ya juu sana.Ukiwa na upeo mdogo wa akili wa kufikia hata kuunga mkono majambazi sugu waliowahi kufungwa kwa kuua na ujambazi wa silaha kwa sababu tu unapinga Serikali inabidi upimwe akili.Commonsense is not common.
Uwezo wako wa kufikiri ndio unakufanya utapike unachotapika.Majambazi yanayoshambulia askari kwa silaha za moto wewe na ujinga wako unataka wapewe maua?Mafunzo ya kukamata majambazi yanayowashambulia kwa risasi ni yapi kwa mfano.Hakuna Nchi yeyote duniani inayowavumiliaHaki ya kwanza ya mwanadamu ni haki ya kuishi (uhai), hata kama ni mwizi.
Mbona hawajamuua kwa risasi Samia ambaye kaua watu zaidi ya 10,000??
Ni mpumbavu tu ndiye anayeweza kuunga mkono mauaji yanayofanywa na polisi.
Polisi wamepewa mafunzo ya kukamata wahalifu. Nyambafu!
Mbwa wa mama wako bize kubwatuka mitandaoni kumtetea, wakati mwenyewe katulia zake Mkunazini anakunwa na mkunaji wakeUwezo wako wa kufikiri ndio unakufanya utapike unachotapika.Majambazi yanayoshambulia askari kwa silaha za moto wewe na ujinga wako unataka wapewe maua?Mafunzo ya kukamata majambazi yanayowashambulia kwa risasi ni yapi kwa mfano.Hakuna Nchi yeyote duniani inayowavumilia
majambazi yanayoshambulia askari Polisi kwa silaha za moto.Exposure yako ni ndogo.
Wisdom is chasing you but are always faster.
Mwanaharakati uchwara.
Hii taarifa haijakaa sawa. Inachanganya.Polisi wameua watu 4 kwa siku moja.
Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya.
Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia unauawa pia.
Nchi haina mwenye.
Watu wanne wanaodhaniwa kuwa majambazi wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu Hospitali ya Wilaya ya Mbozi baada ya majibizano ya mashambulizi ya risasi kati yao na askari katika eneo la Ilembo mkoani Songwe.
Watuhumiwa hao ni Eliuta (Mapunda), Abdul (Chiba), Justine na Bruce Mwasenga.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi imesema tukio hilo limetokea baada ya watu hao kuripotiwa kumshambulia na kupelekea kifo cha William Mwampashi (45).
Tukio hilo naamini kuna siku litatazamwa kwa karibu zaidi ijulikane ni polisi gani hao wenye uovu wa namna hii. Video ilionyesha tukio hilo laivu kabisa..Hivi si ndio huko Mbozi polisi walishusha mtuhumiwa kwenye gari lao na kumhamuru akimbie alafu wala mlengwa na kumuua kwa risasi?
Ninakubaliana nawe.Mapenzi na chuki za KIPUMBAVU/ULOFA zinafanya kila kitu cha kinachofanywa na wanaoitumikia serikali hii ukione hivyo.
Jambazi nimbembeleze ili kumkamata?
NakaziaHuu ujinga hata wa kuunga mkono majambazi walioua mlinzi wa duka ni wa hali ya juu sana.Ukiwa na upeo mdogo wa akili wa kufikia hata kuunga mkono majambazi sugu waliowahi kufungwa kwa kuua na ujambazi wa silaha kwa sababu tu unapinga Serikali inabidi upimwe akili.Commonsense is not common.
Bila ya kuyatetea hayo majambazi; lakini unasahau kuwa hiyo unayoiita wewe serikali yenyewe sasa hivi ni majambazi; tena mabaya zaidi, ambayo yanadiriki kuua maelfu ya waTanzania ili yabaki kwenye madaraka!Huu ujinga hata wa kuunga mkono majambazi walioua mlinzi wa duka ni wa hali ya juu sana.Ukiwa na upeo mdogo wa akili wa kufikia hata kuunga mkono majambazi sugu waliowahi kufungwa kwa kuua na ujambazi wa silaha kwa sababu tu unapinga Serikali inabidi upimwe akili.Commonsense is not common.
Ukikuwepo? Hayo majibizano uliyaona? Unaunga mkono Polisi kujichukulia Sheria mkono? Mahakama zina kazi gani?Huu ujinga hata wa kuunga mkono majambazi walioua mlinzi wa duka ni wa hali ya juu sana.Ukiwa na upeo mdogo wa akili wa kufikia hata kuunga mkono majambazi sugu waliowahi kufungwa kwa kuua na ujambazi wa silaha kwa sababu tu unapinga Serikali inabidi upimwe akili.Commonsense is not common.
Mleta mada katoa taarifa nusu, hao jamaa wamekutwa na bunduki, risasi na silaha za jadiEvidence? Fine polisi mi makamnazi, hawapashwi kuwaua! Were they armed?? Si ajabu ni wanachama wa chadema