Polisi Tanzania hawaiamini Mahakama? Wanahukumu kifo wenyewe. Washaua watu 4

Mtihani huwa ni pale polisi anatakiwa kulenga mguu wa jambazi Ili kumdisarm wakati Jambazi akilenga kichwa Cha polisi.

Majambazi wafuate kanuni za kivita,

Wacheze fair kuepuka hizi lawama.

Mfano nzuri jambazi akikuvamia, atafuata haki za binadamu?

Ngumu sana hii.
 
Majambazi huwa waashirikiana na Polisi.. Sasa wanapowakamata, inalazimu wawaue ili kupoteza Ushahidi. Sababu wakiwaacha hai wanaweza kusema Polisi wanaoshirikiana nao.

Kwanini wanalenga kichwa kinyume na sheria? Polisi wameambiwa walenge miguu pale inapolazimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…