Polisi Tanzania hawajui "Modern Policing??" Hawakuomba radhi ujio wa Kamala Harris. Hawajaomba radhi ujio wa Marais wa Afrika...

Polisi Tanzania hawajui "Modern Policing??" Hawakuomba radhi ujio wa Kamala Harris. Hawajaomba radhi ujio wa Marais wa Afrika...

Simao Latino

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2025
Posts
477
Reaction score
608
Eti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa statement ya kuwaomba radhi watanzania kwa usumbufu wowote uliojitokeza, ila ikawa kimyaaaaa.

Juzi pia kulikuwa na mkutano wa viongozi wa Africa kuhusiana na suala la nishati, shule pamoja na baadhi ya barabara zilifungwa, ila baada ya viongozi hao kuondoka, Polisi nao kimyaaaaa kama kawaida yao.

Polisi hawajatoa statement yoyote ya kuwaomba msamaha watanzania kutokana na usumbufu wowote uliojitokeza.

Ina maana Polisi wa Tanzania hawajui namna ya kufanya Upolisi wa kisasa (Modern Policing) au mimi ndio mshamba??
 
Tanzania Police Forces is not the Army of the People, instead it is the Army of Regime.
Therefore, they don't have any reason to apologise the public.
Police sio army
Polisi hufuata taratibu za kila siku za kiraia,kuhakikisha wananchi wanayii Sheria,kuzuia utekelezwaji wa makosa,kuchunguza jinai mbalimbali na kulinda wananchi na jamii iliyopo ndani ya nchi.
Army kazi yake kubwa ni kulinda taifa,nchi dhidi ya matishio ya nje na ndani pale inapolazimika.

Ndio maana hata mafunzo,silaha,utendaji ni tofauti.
 
Ushaambiwa fanya fujo uone...............yaani wenyewe wanaamini kwamba hakuna kama wao tanzania nzima ..........wako special kama wabunge au mawaziri
Doooh hatari sana hii mkuu wangu..
 
Back
Top Bottom