Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
Eti wakuu, alipokuja makamu wa Rais wa Marekani si mnakumbuka jinsi barabara zilivyofungwa na watanzania kupata bughudha ya usafiri pamoja na adha nyingine. Nilitegemea Jeshi la Polisi wangetoa statement ya kuwaomba radhi watanzania kwa usumbufu wowote uliojitokeza, ila ikawa kimyaaaaa.
Juzi pia kulikuwa na mkutano wa viongozi wa Africa kuhusiana na suala la nishati, shule pamoja na baadhi ya barabara zilifungwa, ila baada ya viongozi hao kuondoka, Polisi nao kimyaaaaa kama kawaida yao.
Polisi hawajatoa statement yoyote ya kuwaomba msamaha watanzania kutokana na usumbufu wowote uliojitokeza.
Ina maana Polisi wa Tanzania hawajui namna ya kufanya Upolisi wa kisasa (Modern Policing) au mimi ndio mshamba??