Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

Hao waliokamatwa je wanatambua sheria na haki zako kikatba
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
 
Kwani unafikiri hao polisi hawana akili?
Wanatazamakosa lililovunjwa kikatiba, kama its not worth the effort wanakaushia.

Jao wanao kamatwa kwa kuvaa dera la chadema ni wa vijijini, hawajui hata pa kuanza kulalamika na kuwachukulia hatua polisi waliowakata.
 
Hili swali hata mimi ninajiulza au kwa kuwa baba zao walikuwa viongozi ndani ya CCM na serikalini ? makosa wanayoyafanya hayana tofauti na wengine waliopo magerezani.
Na watu wengi hawajiulizi, wanaishia kukamatwa wao tu.
 
Na kwanini watu walazimishe kuhuzunika? nadhani tumuombee JPM hakuna sababu ya kukamatana
Hayo yote hayatakiwi
Nadhani tumekosea wenyewe kutoka huko nyuma
Kungekukua kuna siasa safi yenye kuunganisha watu na sio ya utengano kama ilivyo kwa sasa
Kungekua hakuna haja ya kulazimisha watu wahuzunike
Kwanza wangekua tayari wana somo la uzalendo hivyo wananchi wangehuzunika automatikali
Wapinzani kuonwa kama wahaini ni mbaya sana hii dhambi
Mama samia aliangalie hili
Yaani imefikia hatua nchi yetu watu wanakamatwa na polisi kwa kusherehekea kifo cha kiongozi wa taifa?
Mungu atuangalie kwakweli!
 
Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani.

Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea wazi kabisa kitendo ambacho ni kosa la kimtandao lakini hawakamatwi. Fanyeni kazi bila kubagua hakuna aliye juu ya sheria.
Yani ni [emoji870] tena tumemuongezea ule muda aliotaka ajiongezee kutawala,yani mungu ni fundi kuliko kelbu moja tu ya covid mtu chali...huku aliko anapendwa sana anasubiria wamchague kuwaongoza
 
Back
Top Bottom