Polisi Tanzania, Msipokee kila maelezo. Panadol overdose haiui siku moja

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol

Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol inaingialiana na mfumo wa Ini na mara nyingi overdose ya Paracetamol huonekana ndani ya masaa 48 na kuendelea na mtu huwa sawa.

Madhara ya mwanzo husababisha Jaudance (kubadilika rangi na kuwa wa njano) Ndugu wa marehemu au mliomuona kama hakuwa na hiyo Rangi polisi watuambie dawa zote walizozikuta ndani

Pia familia na watu wa karibu watuambie kama Marehemu alikuwa anatumia blood thinners, Pain Relievers (NSAIDs.

Kama hakuwa na hizi basi ameuawa na polisi
 
Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol

Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol inaingialiana na mfumo wa Ini na mara nyingi overdose ya Paracetamol huonekana ndani ya masaa 48 na kuendelea na mtu huwa sawa. Madhara ya mwanzo husababisha Jaudance (kubadilika rangi na kuwa wa njano) Ndugu wa marehemu au mliomuona kama hakuwa na hiyo Rangi polisi watuambie dawa zote walizozikuta ndani

TANPOL is a bunch of idiots. Vidonge kumbe vinaua na kusababisha damu kutapakaa?
 
Anasubiriwa mtu wa kumfunga paka kengele maana ccm wameshafanya Kila aina ya ugaidi ambao inatakiwa ujibiwe kigaidi ila kwakuwa Bado tuko key 🛹 worrios ccm wataendelea kuterorize JAMII. Inatakiwa mtaa mmoja wenye shujaa uamke na shujaa mmoja waingie front wakiuwawa wao kama mia kama sacrifice nchi nzima vijana wataamka Kwa ghadhabu na hasira. Kinyume na hapo ccm wameshatuzoea sana wananchi.
 
Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol

Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol inaingialiana na mfumo wa Ini na mara nyingi overdose ya Paracetamol huonekana ndani ya masaa 48 na kuendelea na mtu huwa sawa. Madhara ya mwanzo husababisha Jaudance (kubadilika rangi na kuwa wa njano) Ndugu wa marehemu au mliomuona kama hakuwa na hiyo Rangi polisi watuambie dawa zote walizozikuta ndani

Pia familia na watu wa karibu watuambie kama Marehemu alikuwa anatumia blood thinners, Pain Relievers (NSAIDs.

Kama hakuwa na hizi basi ameuawa na polisi
tiba za nguvu za kijinsia ni mateso makali sana ya kisaikolojia na zinaangamiza watu kirahisi sana:1Head:
 
Kama tulivyofanya kwa Ally Kibao
Mimi niulize tu, maana sina taarifa.

Yule mlinzi wa Tundu Lissu aliyenusurika habari za tukio hilo zilifikia wapi?

Alipoondolewa pingu polisi mambo yaliishia hapo hapo?

Ni matumaini yangu makubwa kwamba maswala haya CHADEMA hawayachukulii kimzahamzaha; maana hawa waovu wamekwishawatangazia vita siku nyingi.

Wataendelea kuua na kuumiza hivi hivi taratibu hadi hapo watakapofikia viongozi wa juu wa chama.

Hii baada ya July 6, bila ya swala la Tundu Lissu kufanyiwa uamzi unaoeleweka, italazimu mipango mingine itumike.
 
Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol

Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol inaingialiana na mfumo wa Ini na mara nyingi overdose ya Paracetamol huonekana ndani ya masaa 48 na kuendelea na mtu huwa sawa. Madhara ya mwanzo husababisha Jaudance (kubadilika rangi na kuwa wa njano) Ndugu wa marehemu au mliomuona kama hakuwa na hiyo Rangi polisi watuambie dawa zote walizozikuta ndani

Pia familia na watu wa karibu watuambie kama Marehemu alikuwa anatumia blood thinners, Pain Relievers (NSAIDs.

Kama hakuwa na hizi basi ameuawa na polisi
huenda amezitumia nyingi kupita kiasi kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuutuliza kilichokua kinamsumbua, lakini pia kulinda kibarua chake kisiponyoke kwasababu ya hali ya siri yake 🐒
 
Anasubiriwa mtu wa kumfunga paka kengele maana ccm wameshafanya Kila aina ya ugaidi ambao inatakiwa ujibiwe kigaidi ila kwakuwa Bado tuko key 🛹 worrios ccm wataendelea kuterorize JAMII. Inatakiwa mtaa mmoja wenye shujaa uamke na shujaa mmoja waingie front wakiuwawa wao kama mia kama sacrifice nchi nzima vijana wataamka Kwa ghadhabu na hasira. Kinyume na hapo ccm wameshatuzoea sana wananchi.
Kunakotolewa uamzi na amri ndiko kunakotakiwa kufanyiwa kazi.
 
huenda amezitumia nyingi kupita kiasi kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuutuliza kilichokua kinamsumbua, lakini pia kulinda kibarua chake kisiponyoke kwasababu ya hali ya siri yake 🐒
Panadol ndiyo ufe!!!!!!
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NA MAUAJI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKA.
 
Back
Top Bottom