Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol
Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol inaingialiana na mfumo wa Ini na mara nyingi overdose ya Paracetamol huonekana ndani ya masaa 48 na kuendelea na mtu huwa sawa. Madhara ya mwanzo husababisha Jaudance (kubadilika rangi na kuwa wa njano) Ndugu wa marehemu au mliomuona kama hakuwa na hiyo Rangi polisi watuambie dawa zote walizozikuta ndani
Pia familia na watu wa karibu watuambie kama Marehemu alikuwa anatumia blood thinners, Pain Relievers (NSAIDs.
Kama hakuwa na hizi basi ameuawa na polisi