MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Iko waziNi CCM tu hao wamemuua..
TANPOL is a bunch of idiots. Vidonge kumbe vinaua na kusababisha damu kutapakaa?Moja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol
Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol inaingialiana na mfumo wa Ini na mara nyingi overdose ya Paracetamol huonekana ndani ya masaa 48 na kuendelea na mtu huwa sawa. Madhara ya mwanzo husababisha Jaudance (kubadilika rangi na kuwa wa njano) Ndugu wa marehemu au mliomuona kama hakuwa na hiyo Rangi polisi watuambie dawa zote walizozikuta ndani
Pia familia na watu wa karibu watuambie kama Marehemu alikuwa anatumia blood thinners, Pain Relievers (NSAIDs.
Kama hakuwa na hizi basi ameuawa na polisi
Nadhani kuna madaktari wa CHADEMA kwenye post mortemHatutakubali uongo
tiba za nguvu za kijinsia ni mateso makali sana ya kisaikolojia na zinaangamiza watu kirahisi sanaMoja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol
Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol inaingialiana na mfumo wa Ini na mara nyingi overdose ya Paracetamol huonekana ndani ya masaa 48 na kuendelea na mtu huwa sawa. Madhara ya mwanzo husababisha Jaudance (kubadilika rangi na kuwa wa njano) Ndugu wa marehemu au mliomuona kama hakuwa na hiyo Rangi polisi watuambie dawa zote walizozikuta ndani
Pia familia na watu wa karibu watuambie kama Marehemu alikuwa anatumia blood thinners, Pain Relievers (NSAIDs.
Kama hakuwa na hizi basi ameuawa na polisi
Kama tulivyofanya kwa Ally KibaoNadhani kuna madaktari wa CHADEMA kwenye post mortem
Mimi niulize tu, maana sina taarifa.Kama tulivyofanya kwa Ally Kibao
huenda amezitumia nyingi kupita kiasi kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuutuliza kilichokua kinamsumbua, lakini pia kulinda kibarua chake kisiponyoke kwasababu ya hali ya siri yake πMoja ya Dawa, iliyokuwepo ndani kwa Dereva wa Heche ni Panadol/Paracetamol
Paracetamol haiui ndani ya siku moja na ni moja ya dawa ngumu kuoverdose, kwa sababu unaruhusiwa kutumia hadi vidonge nane kwa siku as long as hauchanganyi na aina zingine za paracetamol, jambo lingine paracetamol inaingialiana na mfumo wa Ini na mara nyingi overdose ya Paracetamol huonekana ndani ya masaa 48 na kuendelea na mtu huwa sawa. Madhara ya mwanzo husababisha Jaudance (kubadilika rangi na kuwa wa njano) Ndugu wa marehemu au mliomuona kama hakuwa na hiyo Rangi polisi watuambie dawa zote walizozikuta ndani
Pia familia na watu wa karibu watuambie kama Marehemu alikuwa anatumia blood thinners, Pain Relievers (NSAIDs.
Kama hakuwa na hizi basi ameuawa na polisi
Kunakotolewa uamzi na amri ndiko kunakotakiwa kufanyiwa kazi.Anasubiriwa mtu wa kumfunga paka kengele maana ccm wameshafanya Kila aina ya ugaidi ambao inatakiwa ujibiwe kigaidi ila kwakuwa Bado tuko key πΉ worrios ccm wataendelea kuterorize JAMII. Inatakiwa mtaa mmoja wenye shujaa uamke na shujaa mmoja waingie front wakiuwawa wao kama mia kama sacrifice nchi nzima vijana wataamka Kwa ghadhabu na hasira. Kinyume na hapo ccm wameshatuzoea sana wananchi.
Panadol ndiyo ufe!!!!!!huenda amezitumia nyingi kupita kiasi kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuutuliza kilichokua kinamsumbua, lakini pia kulinda kibarua chake kisiponyoke kwasababu ya hali ya siri yake π
Yes,Panadol ndiyo ufe!!!!!!