Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Mkuuu...jamani mkiona mnashindwana Muachane kwa Amani... Mwanamke kuwa na mauzi mpaka ukamkata mkono...hayo mauzi yanaondoka na huo mkono?Mkuu tukio hilo ni lakulaani na kumuomnba Mungu akupe mwisho mwema. Lakini usithubutu kumuhukumu/ kumtukana wala kumdarau jamaa mana mambo ya kumdhuru mtu ni kidogo sana. Wanawake wana maudhi mengi na ukizingatia alikuwa mfanya kazi na walikuwa wakiishi mbali mbali. Ko sema machache mkuu.
Je wanaume Kufanya Kama hayo...nao wakatwe mikono...tuseme wanaume wana mauzi ?..
Hakuna hoja ya kutetea huu upuuzi