Polisi Tanzania wamtaka Mwamposa kujisalimisha

Polisi Tanzania wamtaka Mwamposa kujisalimisha

MAMBO YA BATWIL YA KISHETANI. HAPO NI IBILISI ALITAKA DAMU ILI UPAKO UENDELEE KUVURUGA VICHWA VYA WATU, NA WAO WAENDELEE KUPIGA MAHELA. KUMBUKENI MNACHEZEA DAMU ZA WATANZANIA. TUNAOMBA SERIKALI ITOE HUKUMU ITAKAYOPELEKEA KUKOMA KWA WATANZANIA KUCHEZEWA KIASI HIKI. TUNA IMAN VIONGOZI WETU WASIKIVU WAMESIKIA NA WATATOA MUONGOZO
 
Mnadanganyika sana Kina Mama nyie sijui mna shida gani.

Hivi kama Mtu una viungo vyote timamu unashindwaje kumuomba Mungu mpaka Mtu mwingine akuombee?

Kamata hiyo Tapeli afunguliwe kesi ya uuwaji akanyee debe.

Bora twende makanisani kuliko kwa waganga wa kienyeji na kushinda kwenye mabar
 
Back
Top Bottom