Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,418
- 29,432
Nilishawahi kwenda pale Kawe na watoto wangu kukanyaga mafuta mwee mwee yaani vurugu msukumano watoto wanaliaa mpaka nilijuta.
Namuombea hili suala liishe, siwezi muhukumu kwa lolote maana hata mimi nina madhambi yangu
Baada ya kukanyaga mafuta, hebu tupe mrejesho nini kilitendeka juu yako..?