Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Ndio maajabu. Au kashikwa na polisi wa Arusha lakini was Moshi hawana habari?Mbona taarifa zilisema amezuiwa akiwa uwanja wa ndege? Amewakimbia? au nini kimetokea?
Ndio maajabu. Au kashikwa na polisi wa Arusha lakini was Moshi hawana habari?Mbona taarifa zilisema amezuiwa akiwa uwanja wa ndege? Amewakimbia? au nini kimetokea?
Vijikanisa vinaibuka kila mtaa na serekali inaangalia tuu.
[emoji3][emoji3]Baraka za miteremko haziwez kukufikisha popote
Kuna mitume walipigwa mawe & kuchomwa moto ndio wakaiona mbingu, we utoke na ujinga wako ukachukue baraka kama tunda mtini
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni mchezo wa kutupoteza kuhusu Mada ya Makonda watuonyeshe hizo Maiti.tusikubali.
Ni kweli watu wamekufa. Mmoja ni jirani yangu. Kafa.Huu ni mchezo wa kutupoteza kuhusu Mada ya Makonda watuonyeshe hizo Maiti.tusikubali.
KweliMUNGU anaishi ndani mwetu ,hakuna kiranja wala mtu aliyetumwa hapa duniani kukutanisha na MUNGU ,tenda mema fuata maandiko yake na amri zake hakika utayashuhudia mema yake hao wanajifanya mitume wanawaibia pesa zenu tangu enzi za mtume muhamadi na yesu kristo MUNGU hajawahi kutuma kiumbe huku duniani namalizia hakuna KIRANJA wala balozi wa kukutanisha na MUNGU yupo ndano ya mioyo yetu
Jumapili njema,
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora Petro alikuwa mtume kwelikweli.Malaika walimkimbiza petro alipokuwa mikononi mwa Polisi gerezani au hujui Hilo?
Tunaambiwa ni zaidi ya 30Watu hao walifariki usiku wakati waliposhiriki kongamano la kidini uwanja wa Majengo, wakigombea kukanyaga mafuta ya upako yaliyomwagwa milango ya kutokea uwanjaniKamanda Hamduni alifafanua kuwa idadi ya waliokufa ni 20 hadi sasa, ambapo kati yao watoto wadogo ni wanne, wawili wakiwa ni wa kike na watu wazima 16 wakiwamo wanawake 15.
Jr[emoji769]
mmmhWasambaa ndio wengi
Moshi kuna heyaa
Kama namba ya vifo hajawa namba tasa bado maana ni MASONIC number.Natabiri watu kuzidi kuongezeka baada ya hill tukio...Mungu atupe macho ya kutambua which is kipi bila ya hivyo tutakuwa watumwa wa Dini mpaka siku ya parapanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Idadi kubwa ni wachaga
Kukariri kunakotokana na elimu ya kukariri! Moshi hawaishi wachaga tu.
Mbona taarifa zilisema amezuiwa akiwa uwanja wa ndege? Amewakimbia? au nini kimetokea?