Babu Kingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 431
- 164
Baada ya kukanyaga mafuta, hebu tupe mrejesho nini kilitendeka juu yako..?
Daah nimeandika nimefuta [emoji856]
Mnadanganyika sana Kina Mama nyie sijui mna shida gani.
Hivi kama Mtu una viungo vyote timamu unashindwaje kumuomba Mungu mpaka Mtu mwingine akuombee?
Kamata hiyo Tapeli afunguliwe kesi ya uuwaji akanyee debe.
Makanisa gani hyo??Bora twende makanisani kuliko kwa waganga wa kienyeji na kushinda kwenye mabar
Kama unataka kuzaa si uendee hospitali wakakucheki, huyo wa maombi hata wewe waweza muomba Mungu mwenyewe, daahYa kilokole