Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Polisi acheni kujifanya hamjui kiswahili, sasa taharifa ni nini!tumepokea taharifa
Haya mazoezi ya Joging'i hufanywa na makundi makubwa yakiwemo yale ya kuchangia kitu fulani ambayo wakati mwingine husimamiwa na trafiki ambao sijui inakuwaje nao hawajui kanuni ya usalama kwa watembea kwa miguu barabarani! Kanuni huwataka watembea kwa miguu watumie upande wa kulia ambao huwawezesha kuviona vyombo vya moto vinavyokuja mbele yao.Hii ni kweli kabisa ila ni vema nasi pia tuwe tunakumbushana
Na kama inawezekana basi jitahidi sana ufanye mazoezi uwanjani au gym ikishindikana basi kimbia kama mada inavyosema
Sorry si unajua tulidukuliwaPolisi acheni kujifanya hamjui kiswahili, sasa taharifa ni nini!
Umesema point konki sana hii.Pamoja na kwamba ni kweli ILA nafikiri hili jukumu linatuhusu wote na sio kazi ya Polisi pekee.
Tungehimizana tu watu wajue upande sahihi wa kukimbilia; Sijui kama hilo nalo linahitaji watu wapelekwe vyuoni? Unajua tukijifanya kila kitu ni jukumu la watu flani hata yale yanayotaka watu watumie akili zao hatutafika...
hiyo h ya nini?tumepokea taharifa
Onaonaje kama ya Lissu ni yake basi na hii ni yenu.Sorry si unajua tulidukuliwa
Ndio niniOnaonaje kama ya Lissu ni yake basi na hii ni yenu.
Kukimbia barabarani kuna raha yake,ni tofauti na kukimbia uwanjani ambapo unazunguka mahali hapohapo.Kuhimizana tu inatakiwa kukimbia upande magari yanapokujia kwani hata likizidi kuja kwako unaweza kukwepa.Pia ni vizuri kukimbia muda ambao magari sio mengi,mfano asubuhi sana,siku za sikukuu,jumamosi asubuhi n.k.Jamani kusema kweli mimi siwaelewi kabisa hawa watu wanaofanya mazoezi barabarani.
Kama mimi ninapoishi viwanja vipo ila unaweza ona mtu tena unamfahamu anakimbia barabarani.
Mimi kawaida yangu nakimbia uwanjani nasubiri madogo wamemaliza kucheza zao mpira napiga rounding zangu 10 nakuwa nipo fresh
Kukimbia barabarani hapana kwa kweli kwanza kuna moshi wa magari, unaweza kugongwa na magari hatari ni nyingi kwa kweli
Ubishoo.Nilisikitika kumuona mtu kavaa headphone kubwa huku akikimbia uelekeo sawa na magari yani hata akipigiwa honi hawezi sikia