Polisi tuambieni kuna nini hapo Kanisani kwa Gwajima mbona mnapiga watu ovyo na mko kimya?

Polisi tuambieni kuna nini hapo Kanisani kwa Gwajima mbona mnapiga watu ovyo na mko kimya?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT
Tumezoea police kutoa tahadhari kuhusiana na mikusanyiko yoyote isiyokuwa halali huku wakitoa sababu. Nashangaa hapo kwa Gwajima.kuna shida gani wanapiga watu hovyo sababu zipi?

Wanatakiwa watoke hadharani wautaarifu umma kinachoendelea tofauti na hapo sisi tutaendelea kuamini kwamba ni uonefu.

watanzania ndo muamini sasa CCM haitegemei kura ya mtu tungekuwa na tume huru ya uchaguzi hawa waumini wasingetendewa hivi kipindi hiki cha uchaguzi hawa hata uwaue hawapiga kura October believe me.

 
Wangekuwa wanatumia hizo nguvu kuzuia watekaji ningewaona wa maana.

Ila wanatumika na na kugeuzwa toilet paper za watawala.
5678901.jpg
 
ni mambo ya kiintelejensia ndugu wala hakijaharibika kitu kua na amani
 
Back
Top Bottom