Polisi: Tumemkamata mfanyabiashara Niffer kwa kuhamasisha vurugu na kuharibu miundombinu

Kwahiyo alijificha kwenye kivuli cha account fake kuhamasisha Petrol stations zichomwe moto, kufanya vurugu na kuua polisi akafikiri hatafikiwa?

Makosa yote ni njama za ugaidi na ugaidi hauna dhamana acha aionje ladha ya mahabusu iwe fundisho kwa Nyumbu wengine
 
Sisi raia ni Mafala tu..nchi zingine huyo Mafwele angewindwa na raia na kujulikana mpaka anapoishi,na yeye kufanyiwa jambo ambalo lingetoa fundisho kwa wengine
Inasikitisha sana niseme tu wabomgo ni mafaraaa ya mwisho watu wanaonewa eti bado tunatii sheria ... Yaan watu wanaumizwa bado tunatii tu dah ....
 
Kwahiyo alijificha kwenye kivuli cha account fake kuhamasisha Petrol stations zichomwe moto, kufanya vurugu na kuua polisi akafikiri hatafikiwa?

Makosa yote ni njama za ugaidi na ugaidi hauna dhamana acha aionje ladha ya mahabusu iwe fundisho kwa Nyumbu wengine

Wanawake huwa mnaoneana wivu sana. Huyo binti ni aibu hata kwenda mkamata tena na kumpiga. Huu woga wa nini? Kwa watu ambao hawana athari. Na ninyi wanawake wenzie ndo hapo mnaona mtashusha kiuchumi wote muwe maskini
 
Sisi raia ni Mafala tu..nchi zingine huyo Mafwele angewindwa na raia na kujulikana mpaka anapoishi,na yeye kufanyiwa jambo ambalo lingetoa fundisho kwa wengine
Si ndo nachesemaga kila siku. Watz tumekaa kaa kama mikund* tu, yunaishia kubweka hatuna cha kufanya.
Ndo maana hata Maxence melo aliambiwa wanaweza kumfanya chochote na hakuna kitu watz watafanya. Kwamba watapiga kelele siku kadhaa na kusahau.
Sisi watz ni mabwege
 
Sisi raia ni Mafala tu..nchi zingine huyo Mafwele angewindwa na raia na kujulikana mpaka anapoishi,na yeye kufanyiwa jambo ambalo lingetoa fundisho kwa wengine
Matendo ya huruma🥺🤌🏾, wakati kuna mzungu ukimjibu shit tu anajaa na anakupiga chuma! Hapendi tu ngozi yako anakufanyia mbaya!sababu za kipuzi tu Huku mpaka uzikwe huna ulilofanya! Labda na mikwara hewa…na sababu unazo!!
 
Wanawake huwa mnaoneana wivu sana. Huyo binti ni aibu hata kwenda mkamata tena na kumpiga. Huu woga wa nini? Kwa watu ambao hawana athari. Na ninyi wanawake wenzie ndo hapo mnaona mtashusha kiuchumi wote muwe maskini
Mi ni kibenten wa mamaako namuonea wivu mamaako tu
 
Wahuni wamepress hadi ameachia White. Na bado October 29.
 
Kwahiyo alijificha kwenye kivuli cha account fake kuhamasisha Petrol stations zichomwe moto, kufanya vurugu na kuua polisi akafikiri hatafikiwa?

Makosa yote ni njama za ugaidi na ugaidi hauna dhamana acha aionje ladha ya mahabusu iwe fundisho kwa Nyumbu wengine
Kuna mdau anauliza, kwa nini wanawake hampendani, mna shida gani nyie viumbe?
 
Niffer arudishe pesa Za watu alizowatapeli mtandaoni na kile kibwana chake!! Wamewalipisha watu iPhone na simu mbalimbali hadi Leo hawakupokea chochote!! Polisi shikilieni hapo hapo atapike hela Za watu.
Washamba kama nyinyi mkiibiwa, kwangu naona ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom