Polisi: Tumemkamata mfanyabiashara Niffer kwa kuhamasisha vurugu na kuharibu miundombinu

Polisi: Tumemkamata mfanyabiashara Niffer kwa kuhamasisha vurugu na kuharibu miundombinu

Kwahiyo alijificha kwenye kivuli cha account fake kuhamasisha Petrol stations zichomwe moto, kufanya vurugu na kuua polisi akafikiri hatafikiwa?

Makosa yote ni njama za ugaidi na ugaidi hauna dhamana acha aionje ladha ya mahabusu iwe fundisho kwa Nyumbu wengine
Una ushaidi?
 
Kwa tuhuma nilizohisi mwanzo za kubumba ambazo wangempa na kweli yamepita kule kule hii mijitu ni mijinga sana very predictable maana yake ni haijishughulishi hata kuja na mbinu mpya ambazo hata wakiweka mbele ya umma zinaweza kukaribiana na ukweli.

Hata wangepewa nafasi ya kusoma kidato cha nne miaka 10 yangepata masifuri tena na tena.
 
Kwahiyo alijificha kwenye kivuli cha account fake kuhamasisha Petrol stations zichomwe moto, kufanya vurugu na kuua polisi akafikiri hatafikiwa?

Makosa yote ni njama za ugaidi na ugaidi hauna dhamana acha aionje ladha ya mahabusu iwe fundisho kwa Nyumbu wengine
🤣🤣CCM wana roho mbaya sana jamani, hizi shutuma sio za kweli wanajua lakin Hadi aje atoke kikombe amekinywea sana
 
Kwa tuhuma nilizohisi mwanzo za kubumba ambazo wangempa na kweli yamepita kule kule hii mijitu ni mijinga sana very predictable maana yake ni haijishughulishi hata kuja na mbinu mpya .

Hata wangepewa nafasi ya kusoma kidato cha nne miaka 10 yangepata masifuri tena na tena.
Ni aibu kua na Jeshi la Police la namna hii
 
Bangladeshi J4 ,instabul Mafuel ,kaharibu miundombinu gani aliyoharibu? Niffer alikuwa anapotezwa sema kuna watu ambao wamepaza sauti kama imewapa alert watekaji ,kuna watu hawajawahi kuzungumza hata siku moja ila leo wameongea kwa uchungu na kupost baada ya Niffer kutekwa.

Nadhani mshajua kwamba wanaoteka watu ni kina nani...sytle aliyotekwa mdude ,polepole ni sawa na hiyo ya niffer.
 
Wakuu kwani huyo ni nani huko Dar es saalama,sisi boda boda wa huku Tandaimbaa tunataka kujua pia!!
 
Niffer arudishe pesa Za watu alizowatapeli mtandaoni na kile kibwana chake!! Wamewalipisha watu iPhone na simu mbalimbali hadi Leo hawakupokea chochote!! Polisi shikilieni hapo hapo atapike hela Za watu.
Sasa hapo mjinga ni niffer au ni hayo matutusa yaliyotapeliwa kifala?
 
Huyu jamaa ataishia kubaya sana.Kuna watu hawajifunzi kutokana na historia, wakina Idd Amini na ubabe wao, waliishia kufia uhamishoni kwa aibu.Halafu et wanasema ni mzee wa kanisa, haya makanisa yanajielewa kweli - tuhuma dhidi yake ni nyingi na nzito.Kama yasemwayo juu yake yana ukweli...huyu ni motoni tu...hata atubu vipi hamna kitu hapo - Lucifer atakuwa anamsubiri kwa hamu
jamaaa yupo kazini sio kwamba ana roho mbaya ndo kazi yake kuzuia vurugu, na kuzuia vurugu hubembelezi watu unawapiga haswa wachache wa mfano, mbona IGP MAHITA yupo mpaka leo miaka 82 na tulimtabiria mabaya
 
Si ndo nachesemaga kila siku. Watz tumekaa kaa kama mikund* tu, yunaishia kubweka hatuna cha kufanya.
Ndo maana hata Maxence melo aliambiwa wanaweza kumfanya chochote na hakuna kitu watz watafanya. Kwamba watapiga kelele siku kadhaa na kusahau.
Sisi watz ni mabwege
tusaidie kuonyesha mfano anza wewe leo chukua hatua usitutukane watu milioni 62
 
Si ndo nachesemaga kila siku. Watz tumekaa kaa kama mikund* tu, yunaishia kubweka hatuna cha kufanya.
Ndo maana hata Maxence melo aliambiwa wanaweza kumfanya chochote na hakuna kitu watz watafanya. Kwamba watapiga kelele siku kadhaa na kusahau.
Sisi watz ni mabwege
😢😢😢
 
Mi ni kibenten wa mamaako namuonea wivu mamaako tu

Ooohhh... Umeolewa na Bi Khadija? Hapo sawa umekubali. Huwa ninyi pia mnakuwa mashoga. Na utakuwa ni kiaskari kilaza. Maana asilimia 98 ya askari ni failures ulizungusha form 4 ukaenda kuwa askari. Maisha yamekugonga umeolewa na bi khadija na bado wakubwa zako nao wanakubemenda. Sasa utafanyaje? Huna akili, huna elimu, huna pesa.
 
Kaharibu miundombinu ya uchaguzi?
au nae alichana mabango ya picha ya mgombea urais kama wale wajeda?!

Mambo ni mengi muda hautoshi.
 
Back
Top Bottom