Mungu atulinde kwa kweli kama TaifaKwa taarifa namna vurugu zilivyoanzishwa 29/10,ni wazi kulikua na watu wa shughuli wa nje,ukizingatia walikua na ufundi wa kuharibu vifaa vya ku-punch kadi vituo vya mwendokasi
Tumewindwa,tumepatikana, Tanzania haitokua ile tena!