PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
yaani kitendo cha kusema "Mwanajeshi wa Marekani" kwenye hii taarifa yao teyari wameshajipiga kidole... US is involved direct kwenye huu uhuni unaoendelea
Hawa jamaa,Kadri wanavyojaribu kufanya tukio,ndio wanavyozidi kujimaliza,sasa Trump ataingia mazima
Ndipo anguko lao,sasa moja kwa moja limefika,ila ujinga wao ni ushindi wa watanganyika
 
Wakuu

Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.

Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.


View attachment 3502984

Tunasubiri apanfishwe kifimvaji kama ni kweli.
 
Wakuu

Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.

Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.


View attachment 3502984
Hii taarifa ni moja ya vielelezo kuwa polisi Tanzania hawana ueledi wa kutosha.

CS in kemikali inayotumika kwenye mabomu ya machozi au riot control.
M68 ni grenade ya mazoezi au kufundishia.

Sasa hapo hawajajua hata kwa nini wameandika na implication yake...

Kama watu watu wanazo (assume ni kweli) hizo CS basi maanake yake inawezekana kuna mpango wa kufanya special operations, (nisiende mbali)

Hii taarifa ndio inalichafua Taifa kuliko zile picha wanazoita fake.

Kingine hizo M68 ina maanisha kuna kikundi tayari cha uasi au kinachojifunza kutumia silaha za moto.

Hii taarifa inalichafua Taifa kuliko zile picha wanazoita fake.

Kingine hayo mabomu manne wameshindwa kuyaelezea vizuri.
 
Cowards? Ooh give me a break. I guess you're the cowards here cold blood murderers but trying to cover up. Demonstrators were Kenyans!! oooh horrific images are purely AI!! Oooh confiscating dead bodies to obscure the scale of the atrocities.

Now who's the coward? Be the judge
You idiots. Who praise Americans even if they are wrong.
 
Hii taarifa ni moja ya vielelezo kuwa polisi Tanzania hawana ueledi wa kutosha.

CS in kemikali inayotumika kwenye mabomu ya machozi au riot control.
M68 ni grenade ya mazoezi au kufundishia.

Sasa hapo hawajajua hata kwa nini wameandika na implication yake...

Kama watu watu wanazo (assume ni kweli) hizo CS basi maanake yake inawezekana kuna mpango wa kufanya special operations, (nisiende mbali)

Hii taarifa ndio inalichafua Taifa kuliko zile picha wanazoita fake.

Kingine hizo M68 ina maanisha kuna kikundi tayari cha uasi au kinachojifunza kutumia silaha za moto.

Hii taarifa inalichafua Taifa kuliko zile picha wanazoita fake.

Kingine hayo mabomu manne wameshindwa kuyaelezea vizuri.
Ukiambiwa wanatunga script, nchi kama tuna watu wapo kwenye idara ya usalama wajinga ivi,tunakazi kubwa kama taifa
 
Ndiyo maana Trump anawadharau sana watu weusi, pumbavu kabisa. Mtu amekamatwa na mabomu anavuka boarder kuingia nchi Jirani, mlitaka jeshi la police waache au. Hebu acheni upumbavu basi
 
So just because he is a U.S citizen ana mandate ya ku cross boarder na mabomu??
Kwa akili za kawaida kabisa mwanajeshi wa US avuke na mabomu kwenye border rasmi kabisa? Upo serious kweli? Yaani asipitie chocho atokee nyabisaga huko au mbogi eti apite main road? Kadanganye watoto wadogo.

Ahatarishe usalama wa Raia wa nchi nyingine?? Nini maana ya sovereignty katika nchi?
Have a logic brother, acheni ushabiki
You should be last people to lecture us about sovereignty.
1. Mbuga mmewapa Saudia eti kwa ajili ya carbon sequestration.
2. Bandari mmewapa UAE
3. Mwendokasi mmewapa Emirates national Group ya UAE.
4. Umeme mnataka kuwapa Adani group
5. Makaa ya mawe Ruvuma mmewapa warusi.
6. Gesi ya Mtwara mmewapa wazungu.
I can go on and on all night alafu ndio unaleta ngonjera za sovereignty?

Ironically mlileta mercenaries kutoka zanzibar na Uganda na maeneo mengine wa kutoka msumbiji alafu unaleta habari za sovereignty.

Take a seat
 
Kwa jinsi tunavyowachana msije shangaa asubuhi wanaikana taarifa yao wenyewe.
Hayo mabomu au hizo namba zina maanisha vitu viwili tofauti na venye kazi tofauti.

Pili inaonyesha hawauelewa wa kutosha kuhusu mabomu kama sisi Raia WA kawaida.

Kwa aina ya hizo namba za mabomu, kama ni kweli maanake tayari kuna kikundi kikubwa kinafanya kazi.

Labda kama wanataka kusema tarehe 29 walipigana na Waasi
 
Back
Top Bottom