PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tumeanza kuichokonokoa CIA, MOSSAD, MI6 na Intelligence Agencies zote za NATO...! Haya bhana Kila la kheri Jeshi la Polisi
Watanzania wenzetu kuweni serious, hivi unajua maana ya usalama wewe?
 
Kwa taarifa namna vurugu zilivyoanzishwa 29/10,ni wazi kulikua na watu wa shughuli wa nje,ukizingatia walikua na ufundi wa kuharibu vifaa vya ku-punch kadi vituo vya mwendokasi
Tumewindwa,tumepatikana, Tanzania haitokua ile tena!

Inamaana CCM walishindwa kulinda mipaka mpaka raia wa nje reckless wanaingia nchini kufanya Ukora?

Kwann sasa bado wanang'ang'ania madaraka
 
police ni waongo, kwahyo wanajeshi mpakan hawamkamata ndo aje akamatwe na police.
propaganda hizi za kujihami ili mabom yasiingize nchin.
ila yajayo yanafurahisha
 
police ni waongo, kwahyo wanajeshi mpakan hawamkamata ndo aje akamatwe na police.
propaganda hizi za kujihami ili mabom yasiingize nchin.
ila yajayo yanafurahisha
Wewe ni mpumbavu kwa hiyo unajua namna vyombo vya ulinzi vinavyofanya kazi? Acha ujinga.. kwa hiyo unataka mabomu yaingizwe nchni na wahalifu?
 
Tuna polisi wa hovyo kweli, maana hata ile akili ya kudanfanya hawana kabisa. Unasema uwongo mpaka kila mtu anajua kuwa wewe ni mwongo.

Yaani mtu aingize mabomu kwa kupitia kwenye mpaka wenye ulinzi! Ina maana huyo aliyeingiza aliamini watakapokagua watasema hayo mabomu ni maboga? Uwongo kama huu unazidi kudhihirisha huko polisi kulivyojaa watu wa hovyo!!
 
Ila polisi bana.. hawa jamaa kweli ni misukule
 
akili za watanzania sijui zipoje, yaani anaforce jeshi lionekane linamakosa hata pale wanapolindwa wao wenyewe
Tunaforce vipi wakati huo ndio uhalisia kwamba majeshi yetu yote yalionesha udhaifu mkubwa wa majukumu yao ya kulinda raia na nchi kwa ujumla!

Mfano halisi ni kile kitendo cha Polisi Trafiki kushika bunduki na kuanza kuwapiga shaba wale waliokuwa wanampa pesa yakiwi
 
Kwa akili za kawaida kabisa mwanajeshi wa US avuke na mabomu kwenye border rasmi kabisa? Upo serious kweli? Yaani asipitie chocho atokee nyabisaga huko au mbogi eti apite main road? Kadanganye watoto wadogo.


You should be last people to lecture us about sovereignty.
1. Mbuga mmewapa Saudia eti kwa ajili ya carbon sequestration.
2. Bandari mmewapa UAE
3. Mwendokasi mmewapa Emirates national Group ya UAE.
4. Umeme mnataka kuwapa Adani group
5. Makaa ya mawe Ruvuma mmewapa warusi.
6. Gesi ya Mtwara mmewapa wazungu.
I can go on and on all night alafu ndio unaleta ngonjera za sovereignty?

Ironically mlileta mercenaries kutoka zanzibar na Uganda na maeneo mengine wa kutoka msumbiji alafu unaleta habari za sovereignty.

Take a seat
Hatari sana...
 
Back
Top Bottom