PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tunaforce vipi wakati huo ndio uhalisia kwamba majeshi yetu yote yalionesha udhaifu mkubwa wa majukumu yao ya kulinda raia na nchi kwa ujumla!

Mfano halisi ni kile kitendo cha Polisi Trafiki kushika bunduki na kuanza kuwapiga shaba wale waliokuwa wanampa pesa yakiwi
tunaongelea tukio la kukamatwa kwa mabomu unaleta stori za trafiki, nimekuuliza polisi wasiendelee kufanya majukumu yao mengine kisa mo29?
 
Mwanajeshi wa usa abebe mabomu ya kutupa? Hao wanaweza kutengeneza mabomu kirahisi. Hawahitaji kuta be a kutoka sehemu moja tena kupita mipakani.

Ndani ya nusu saa natengeneza bomu la maana kwa kutumia shilingi elfu 10 tu.
 
Kama ni kweli basi hayo mabomu yatakuwa yamewekwa na wahuni ili tu kutengeneza taharuki. Na usikute huyo mwamba (kama ni kweli lakini, maana siwaamini policcm kwenye masuala kama haya) alikuwa kwenye mapumziko. Akasema aje atalii huko Rorya! Policcm kwa kushirikiana na wapuuzi wenzao wa Kenya wakaona wamtengenezee tukio la kumdhalilisha.

Ila nina uhakika ubalozi wa Marekani utafanyia kazi hilo jambo la kulitolea taarifa rasmi! By the way hata kama ingekuwa ni kweli, bado ningekuwa upande wa huyo askari.
 
Wale waliolipua ubalozi hawakua wanajeshi ila mabom waliundia hapa hapa. Sembuse mjeda wa Pentagon.
 
CCM na Polisi ni washenzi sana. Wametunga sinema za kitoto.

Baadae utasikia hari ya usalama Nchini sio shwari hivyo hawataruhusu maandamano kwa sababu za kiusalama .

Lengo lao kuu ni kuzima maandamano ya December 9.

Hakuna wa kuzuia moto wa December 9 .
 
Kama ni kweli basi hayo mabomu yatakuwa yamewekwa na wahuni ili tu kutengeneza taharuki. Na usikute huyo mwamba (kama ni kweli lakini, maana siwaamini policcm kwenye masuala kama haya) alikuwa kwenye mapumziko. Akasema aje atalii huko Rorya! Policcm kwa kushirikiana na wapuuzi wenzao wa Kenya wakaona wamtengenezee tukio la kumdhalilisha.

Ila nina uhakika ubalozi wa Marekani utafanyia kazi hilo jambo la kulitolea taarifa rasmi! By the way hata kama ingekuwa ni kweli, bado ningekuwa upande wa huyo askari.
Kenya hawawezi husika maana inawachafua wao kama nchi
 
Yaani Polisi walivyo waajabu,
Watatoa kauli Tena hali ya usalama sio nzuri,
Hatutaki mikusanyiko..
Wanafikiri ndio itasaidia maandamano yasifanyike..

Najua wamepewa barua online ya maandamano, barua imekwenda mpaka Ikulu , ofisi za mabalozi mbalimbali..
Wanatafuta kisingizio
 
1000147891.png

Mnataka ugomvi na hawa???🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom