PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

PostGE2025 Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanajitahidi Sana kusukuma lawama kwa kila MTU lakini sio wenyewe.

WAnataka maridhiano lakini hawa acknowledge mistakes. You can only fix mistakes you identify
 
Uongo huwa ni sehemu ya vitendea kazi vya polisi wa Tanzania.
 
Mi nadhani kwa mtazamo wangu lakini japo sijui chochote kuhusiana na maswala ya kiusalama na kidiplomasia,

Kama kweli wamemkamata huyo mtu wangemalizana naye kimya kimya halafu nchi zote mbili; Kenya na Marekani wangewashirikisha na bado nao pia wakamalizana nao kimya kimya lakini kwa kutunza ushahidi usio na mawaa ili hapo mbele likitokea la kutokea wanakuwa na pa kuanzia.

Kwanini nawaza hivyo?

Naona kama kulileta public kipindi hiki ambacho bado nchi na vyombo vyetu vya usalama viko na hekaheka za kiusalama ni sawa na kuzua taharuki kwetu sisi wananchi lakini pia linaweza kutumiwa vibaya na maadui wa nchi yetu wakalitumia kwa faida yao

Sasa hivi kundi kubwa la watu haliiamini serikali na vyombo vya usalama hasa polisi hivyo ni rahisi sana watu wabaya wakatumia taarifa hizi hizi za polisi kugeuza mambo
 
Heheee! Yachekesha walahi. Wameishiwa mbinguni waokota okota watu huko. Acha nithibitishe hii profile ya huyu mwanajeshi wa bei ya jioni. Nawaletea kama nilivyotumiwa. Na bado
Uache uchawa na uoga.

Tarehe 9 njoo field tuongeze nguvu za kuwatoa wauaji madarakani.
 
Acha waendelee kutikisa meza yenye vinywaji vya bei mbaya.

Wanalolitafuta watalipata soon. Uzuri Trump hachekagi na kima.
 
Kwenu Fathers.

Mimi sio Jasus wala sijawahi kuishi USA iwe kwa bahati nzuri au bahati mbaya!

Lakini nimewahi kuishi na watu walio ishi Marekani na wamarekani wenyewe.

Wengine nimefanya nao kazi kwa muda mfupi na mrefu.

Lakini kati yao sijawahi Ona anamapete ya bahati kama umemuona Dr Sulle sijawahi Ona.

Sasa huyu mjeshi gani ana Pete mikono yote?

Kama ni kweli basi atakuwa mjeshi wa bei ya jioni kabisa huyu.

Mjeshi wa USA anavaa kama kwaya master wa parokia?
FB_IMG_1763371216987.jpg
 
Back
Top Bottom