Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
Ukishapoteza kuaminika hata uje na dawa ya kifo hakuna atakae kusikiliza. Ndio maana waungwana walionya mapema vyombo vya usalama kujiingiza kwenye siasa.
Nimejikuta nacheka TU baada ya hii pichaHii ndio picha ya Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa mkoa wa Mara akitokea Kenya akiwa na Mabomu.
View attachment 3503064
We RPC wa Mkoa wa Mara tako lako.
JamiiCheckWakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3503066
View attachment 3503067
View attachment 3503068
Media attention, huyo hata haonekani kama askari wa USA. Ni ndugu ya polisi, wame stage to justify jibu la mama kuwa wanahusika watu kutoka nchi jirani. Hayo mabomu huyo raia ameyapata wapi? Kweli akili ni nywele, eti wamemsimamisha mbele ya hizo chupa nne (Mabomu), wote na mama Samia ni zero brain.Jamaa ni viazi sana, huwezi kukamata mtu leo kwa kesi nzito kama hiyo ukatangazia umma
A malicious sydicate. Walishazoea kubambikizia watu kesi. Kwa hiyo alisafiri na mabomu hayo kutoka marekani?? Shame on you.Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3503066
View attachment 3503067
View attachment 3503068
Yani watanzania sijui tokoje ,Wanataka kuaminisha watu kuwa ni wakenya ndio wanaleta vurugu.
Akili za kishenz kabisa
Hakuna usalama wowote hapa police ana TISS wapo serious na kuilinda CCM na kupambana na wapinzani na wakosoaji,Hapa nchini kunausalama gani Zaid uvccm,msiwaone watu wajinga,wakati direct hii ni script, ngoja mjibiwe muanze kulilia
Sasa wewe unavyoona TISS watawafanyeje CIAWatanzania wenzetu kuweni serious, hivi unajua maana ya usalama wewe?
Wapeleke hizo taarifa ubalozi wa Marekani,au hawapajui?Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3503066
View attachment 3503067
View attachment 3503068
Jf member yoyote anaruhusiwa kuweka postMochwari za wananyamala hampost mnaleta stori za mwanajeshi tu acheni kututoa kweny agenda zetu
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3503066
View attachment 3503067
View attachment 3503068
Propaganda za kijinga na aibu,Polisi: Tumemkamata Mwanajeshi wa Marekani, cheo cha Sajenti akiwa ana mabomu 4, akitokea Kenya kuingia Tanzania
Inabidi apelekwe mahakama ya kijeshiHawa jamaa binafsi siwezi kuwamini kabsa... Wamekua ni watu wa porojo na propaganda mno kila upepo wanapita nao.
Wajuvi hii habari iliisha vipi ?!Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
Soma pia:
View attachment 3503066
View attachment 3503067
View attachment 3503068
Hiyo ilikuwa taarifa ya uongo!!! Polisi walitaka kurusha taaruki kwa wananchi ili wapata sababu ya kuyazuia maandamano tu!!Wajuvi hii habari iliisha vipi ?!