The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Aisee.
Tulia kwenu kenya, *** weweInamaana CCM walishindwa kulinda mipaka mpaka raia wa nje reckless wanaingia nchini kufanya Ukora?
Kwann sasa bado wanang'ang'ania madaraka
DramaWakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3503066
View attachment 3503067
View attachment 3503068
Wanataka kututoa kwenye reli. Hatudangangiki!!Hawa jamaa mbona wanafanya mambo kitoto sana. Hapo sasa nchi mbili zinahusika siyo? Usa na kenya. Naona kama ni kutafuta ugomvi tu. Kwani wangenyamaza na kumkamata nini kingetokea.
TakatakaKwani whats so special kwa mwanajeshi wa USA asikamatwe?
Na polisi siyo wajinga hadi wafikie hatua ya kutoa taarifa kama hiyo kwa ummah.
Kama ni mhalifu lazima ashikwe kama wahalifu wengine tuh
Daaah asee na hii suti imetoka yuuuesi..!!! HahahahahaHii ndio picha ya Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa mkoa wa Mara akitokea Kenya akiwa na Mabomu.
View attachment 3503064
We RPC wa Mkoa wa Mara tako lako.
Usiwe bwege, hii Taarifa/tukio la kutengeneza hilo.tunaongelea tukio la kukamatwa kwa mabomu unaleta stori za trafiki, nimekuuliza polisi wasiendelee kufanya majukumu yao mengine kisa mo29?
Mbona washamba sana na nyinyi, kwani kuwa Police U.S ni nini? Vijana mpo so brain washed.Kama kawaida, Polisi ya Bilionea wanakuja na vihadithi Uchwara Uchwara hapana kujaribu kuogopesha watu.
Oyaaa hakuna Askari anayehudumu Marekani, anayeweza kua Ndezi .
Yaan apakie Mabomu Manne, Ndani ya Gari lake , apite mpakani, akijua atakaguliwa Mwanzo mwisho !!.
Huo uoga mnaotuuzia tumeukataaaa !!!.
Jiandaeni Dec 9 !!