Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 1,177
- 2,553
Wana mBeep Trump ni hakika atawapigia fasta bila kuchelewa,, ohooo yule mzee Hanaga mchezo kabisa shauri yao
Pumbavu kabisaHongera jeshi kwa umakini na kulinda amani ya raia na Mali zao
Siyo tu wa marekani waje hata wa europe nzimaKwa hiyo kwa sababu ni Raia wa Marekani ndo aje nchini kwetu afanye anachoweza??
Acheni ushabiki wa kijinga.
Its a sign kwamba wamechanganyikiwaKila wanacho fanya huwa wanafikiri wanatuliza, lakini kila action kwao huwa ni janga, nawaambia chochote watakachofanya kwa akili zao ndogo,ndivyo wanavyozidi kuangamia,reply yangu Moderator naomba uibold itakuwa reference kwa badaye.
You want us to praise you or Mama Samia???You idiots. Who praise Americans even if they are wrong.
Kuna polisi Tanzania, Zaid ya kikundi cha wajingahongera makamanda
pia kuna hawa vijana wanaofuata mkumbo nao watizamwe kwa jicho la huruma
Who cares? Did I ever ask for that??You want us to praise you or Mama Samia???
Bila shaka ni kweli.Polisi wasingetoa taarifa ambazo ni rahisi kuthibitisha kama hizo.Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
Kuna container la silaha za kivita lilitolewa bandarini under escortKama kawaida, Polisi ya Bilionea wanakuja na vihadithi Uchwara Uchwara hapana kujaribu kuogopesha watu.
Oyaaa hakuna Askari anayehudumu Marekani, anayeweza kua Ndezi .
Yaan apakie Mabomu Manne, Ndani ya Gari lake , apite mpakani, akijua atakaguliwa Mwanzo mwisho !!.
Huo uoga mnaotuuzia tumeukataaaa !!!.
Jiandaeni Dec 9 !!
Wanatuuzia uoga wajinga sana haoKama kawaida, Polisi ya Bilionea wanakuja na vihadithi Uchwara Uchwara hapana kujaribu kuogopesha watu.
Oyaaa hakuna Askari anayehudumu Marekani, anayeweza kua Ndezi .
Yaan apakie Mabomu Manne, Ndani ya Gari lake , apite mpakani, akijua atakaguliwa Mwanzo mwisho !!.
Huo uoga mnaotuuzia tumeukataaaa !!!.
Jiandaeni Dec 9 !!
Nimeona huko mitandaoni wabongo wameikataa hii habari wengi wanadai ni propaganda ili kubadiri upepo ila kizazi hiki vijana ni wajanja sana tofauti na vizazi vya huko nyuma walikuwa wepesi kudanganywa wakaamini😀Kama kawaida, Polisi ya Bilionea wanakuja na vihadithi Uchwara Uchwara hapana kujaribu kuogopesha watu.
Oyaaa hakuna Askari anayehudumu Marekani, anayeweza kua Ndezi .
Yaan apakie Mabomu Manne, Ndani ya Gari lake , apite mpakani, akijua atakaguliwa Mwanzo mwisho !!.
Huo uoga mnaotuuzia tumeukataaaa !!!.
Jiandaeni Dec 9 !!
Propaganda za gov zinadunda sanaaaNimeona huko mitandaoni wabongo wameikataa hii habari wengi wanadai ni propaganda ili kubadiri upepo ila kizazi hiki vijana ni wajanja sana tofauti na vizazi vya huko nyuma walikuwa wepesi kudanganywa wakaamini😀
Hata ishu ya babu wa Loliondo ambayo ilisukwa vyema na ikatiki kipindi kile ingekuwa hii miaka ya hiki kizazi cha Gen-Z ingebuma chap yaani hawa vijana wa sasa kuwatoa kwenye reli sio rahisi hata uwadanganye nini