Kuna popote nimetaja US hapo?You idiots. Who praise Americans even if they are wrong.
FUTUHIIIIIIIIIIIIII NDIYO NI FUTUHI.Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3502984
Jamaa ni viazi sana, huwezi kukamata mtu leo kwa kesi nzito kama hiyo ukatangazia ummaKama kweli wanatuambia sisi ili iweje? Tukaeasaidie kumtesa au kumuua?
Watoe taarifa ubalozi wa Kenya na Marekani ili washughulike na mtu wao hizo ni international diplomatic affairs hayatuhusu.
Sisi tunataka kusikia ccm imeondoka madarakani na polisi wao hawawalindi tena.
Au wangetwambia tumekamata mijizi ya ccm lakini siyo mambo ya uongo uongo.
December 9 tukutane popote mlipo.
Ubalozi wake wa marekani wangeshatoa taarifa, waongo hao.Jamaa ni viazi sana, huwezi kukamata mtu leo kwa kesi nzito kama hiyo ukatangazia umma
Hamna sahihi ya Kiongozi au mfanyakazi wa porisiWakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3502984
Muda wako utafika soon mwehu weweMjinga sana wewe
Ila nyie jamaa sasa mtu kakamatwa bado kwenu ni shida.Wanaituhumu Kenya??? Samia na Polisi wake ni vilaza wa kutupa🚮🚮🚮🚮
Hapa wanahamisha magoli.....ili tuhamie huko pia....kufarakana Kenya.....damu zile ni.laana kabisa utawala wa damu.....hakuna kituWakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3502984
Ninyi mbwa wa kipolisi, nani asiyewajua paka ninyi, mnajifanya mmemkamata mtu na mabomu kumbe mmempandikizia au mmemtumia CCM mwenzenu. Hivi ninyi matako Polisi mna akili kweli, kama mtu anataka kupitisha silaha, anapita mpakani wakati kuna porous border kila mtu anaweza kupita? Ebu acheni ushamba ninyi form IV failures, mmeua wananchi wengi wasio na hatia na sasa mnaendelea kudanganya. Wapumbavu ninyi polisiccm.Wakuu
Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na mabomu manne aina ya CS M68.
Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtu huyo anadaiwa kuwa mwanajeshi wa Marekani mwenye cheo cha Sajenti na alikamatwa akitumia gari lenye namba KDP 502 Y aina ya Toyota Landcruiser.
View attachment 3502984
...Mjinga sana wewe