Polisi tunajua nyie hamfi mnapewa pesa kuua maskini wenzenu. Tunakuja tena mtuue sawa

Polisi tunajua nyie hamfi mnapewa pesa kuua maskini wenzenu. Tunakuja tena mtuue sawa

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Nye si mwapewa mamilioni ili muue maskini wenzenyu wanaotetea haki zao. Mwataka muwe tajili kama Elon Muski. Hehee!

Mwatii amri haramu kumwaga damu za wenzenyu mliambiwa nye hamfi. Mayii! Mwambieni awaongezee posho zaidi ili mtuue zaidi.

Twataka mwaka huu muwe mamilionea. Mle bata kwa pesa ya kutuua siye na dugu zetu. Siye twabaki yatima na wajane nye hamfi mwafulahi na familiya zenyu.

Shikeni bunduki wote siku hiyo ila hakikisheni wamewawekea mamilioni ya pesa. Msitue bule nyie mkibaki maskini hehee. Sawa afande zangu. Na bado.
 
Yale mazoezi yenyu ya kuua watu ongezeni sana. Mabingwa wa kuua watu wao heheee.
 
Inasikitisha mtu analipwa laki tatu unusu anapewa oder ya kwenda kuuwa raia kutetea watoto wa vigogo wenye account zanye mamia ya mabilioni hadi nchi uarabuni huko.
 
Inasikitisha mtu analipwa laki tatu unusu anapewa oder ya kwenda kuuwa raia kutetea watoto wa vigogo wenye account zanye mamia ya mabilioni hadi nchi uarabuni huko.

Heheee! Yenyewe majinga yadanganywa kwa viapo haramu. Wakubwa wao watajirika yao yatumwa kumwaga damu za maskini wenzao. Wao wasipojenga mwaka huu ndio kwanza tupo ngazi moja
 
Ukiona mtu ni polisi kwanza ni wakuhurumia tu mana wengi wanamaisha magumu,yenye majonzi.

Wengi hufa masikini na wakiishi maisha ya upweke wakitengwa na ndugu hadi jamii.
 
Back
Top Bottom