Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhalifu wa kupanga??? Polisi wameshaharibu kesi kwa makusudiWho is this guy.
Organized Crime.Uhalifu wa kupanga??? Polisi wameshaharibu kesi kwa makusudi
Kuna mengine samia hata hajulishwiHaya mambo ya kukamata watu kabla uchunguzi haujakamilika yanamkera sana mama yetu Samia. Polisi badilikeni.
Endelea kulea watoto wote wa tano wa ndoa ukidhani ni wako hadi ulupoenda kupima dna na kuthibibitika wote wa Mbowe.Yaani nilipoona jina la kihaya tu, nikajua lazima atakuwa tapeli. Chadema wamekithiri kwa habari za uongo
Tapeli mara nyingi ni watu wenye akili sana kuwazidi maboya wanaowatapeli........ni kweli wahaya nao wako na akili sana????Yaani nilipoona jina la kihaya tu, nikajua lazima atakuwa tapeli. Chadema wamekithiri kwa habari za uongo
Kinembe huwezi changia lolote bila kuitaja Chadema. Bwege kweli weweYaani nilipoona jina la kihaya tu, nikajua lazima atakuwa tapeli. Chadema wamekithiri kwa habari za uongo
nadhani alietoa Taarifa za kutekwa ndio aliekua nae. Baada ya mwenzie kukamatwa mbele yaka, yeye akaona ili avutie huruma ya wadau azushe kwamba mwenzie katekwa 🐒Wakati anakamatwa alipewa haki ya kujulisha Familia, Mwanasheria, Balozi, n.k ?
Kama hakupewa haki hizo basi Alitekwa.
Fact ni Ipi?nadhani alietoa Taarifa za kutekwa ndio aliekua nae. Baada ya mwenzie kukamatwa mbele yaka, yeye akaona ili avutie huruma ya wadau azushe kwamba mwenzie katekwa 🐒
Sawa Jeshi la Polisi mtu mkimkamata mpelekeni mahakamani kwa tuhuma zinazomkabili mtaendelea kupata hizi tuhuma kwa mfumo huu wa kizamani mnaotumia yaani mnamkamata mtu bila kutoa taarifa watu wakihoji mnajitokeza akipotea kweli nanyi mnajifanya kumtafuta kazi ipo hapo..
Jeshi letu lijotahidi kukamata mtu baada ya kukusanya ushahidi wa kutosha kumpeleka mahakamani. Tupunguze hii mambo ya tunamshikilia uchunguzi ukikamilika tutampeleka mahakamani.
Naunga mkono hoja...Haya mambo ya kukamata watu kabla uchunguzi haujakamilika yanamkera sana mama yetu Samia. Polisi badilikeni.
Taarifa ya Polisi 🐒Fact ni Ipi?
Kijana wa Mwalimu Kashaija wa CBE 🤣Watu wa Daslam watakua wanamjua tu,
Tuwasubiri Mkuu.
Kwani huyo mtu ni mwanasiasa ?Hamna kesi hapo ni siasa tu
Endapo kama mtu huyo wakati alipokamatwa na Jeshi la Polisi alikuwa hakupewa haki yake ya kuwasiliana na ndugu zake, jamaa zake au Mwanasheria wake na/au Uongozi wa Serikali ya Mtaa anakoishi hawakupewa taarifa, Moja kwa Moja inatafsirika kwamba ALITEKWA.View attachment 3143852
Kuna taarifa zinazotengenezwa na kusambazwa katika makundi sogozi yenye nia ya kudanganya ili kuleta taharuki kwa umma kumhusu Franco Kashaija Ruhinda kuwa haijulikani alipo toka alipowasili nchini akitokea Dubai.
Jeshi la Polisi lingependa kutoa taarifa kuwa Franco Kashaija Ruhinda alikamatwa alipowasili nchini Novemba 3,2024 kwa tuhuma za kujihusisha na Uhalifu wa kupanga na bado anaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi ili kukamilisha yaliyokuwa yamesalia katika uchunguzi ili hatua zingine za kisheria zifuate.
Imetolewa na:
David A. Misime - DCP Msemaji wa Jeshi la Polisi Dodoma, Tanzania.
View attachment 3143855View attachment 3143856
Huyu Mnyambo si Mhaya. Uzuri ni CCM na aliweka nia jimbo la Karagwe ila akaliwa kichwaYaani nilipoona jina la kihaya tu, nikajua lazima atakuwa tapeli. Chadema wamekithiri kwa habari za uongo
Organized crimeKwa tuhuma za "KUPANGA" ??????