Polisi, Uhamiaji na Wanausalama wengine Tizameni hili kwa jicho la Tai

Masai wa Town

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
7,009
Reaction score
25,406
Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.

Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati mwingine watu hao hufanikiwa kuvuka vizuizi na kufika mjini salama.

Nimefanikiwa kufuatilia na nikagundua

Wakimbizi kutoka kambi laNduta, Warundi na Wanyarwanda kutoka nchini kwao huingia katika manispaa ya Kigoma kupitia njia zisizo rasmi.

Katika usafiri wa treni ya Kigoma - Dar, uongozi hukagua vitambulisho kwa abiria.

Hapa watakagua kadi ya NIDA, mpigakura, Passport, Leseni ya Udereva na asiye na vitambulisho hivyo atapaswa kuonyesha BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA KIJIJI ALIKOTOKA.

Lakini,

Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wanaoshindwa kutofautisha Raia wa Tanzania na wa nchi za Kigeni. Pia Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wasio waaminifu ambao kwa kufahamu kabisa hupewa "Chai" na raia wa Kigeni ili kuwaandalia badua zenye mihuri ya vijiji husika ili kuwawezesha watu hao kusafiri kwa Treni hivyo watafanikiwa kufika mikoa mbalimbali nchini kwa madhumuni yasiyofahamika.

Ikumbukwe,

Nchi za Congo DR, Burundi Rwanda, Uganda na Kenya, kwa muda mrefu zimekuwa zikipambana na matishio ya ugaidi wa ADF, Al Shabaab na makundi mengine hatari.

Huwa najiuliza,

Itakuwaje kama wahamiaji hao ni Sehemu ya makundi hayo na ni mpango wao wa ku_infiltrate katika jamii za Watanzania ili baadaye waanze kutishia Usalama?
 
Rushwa ni hatari , kukomesha haya mambo serikali iwaangalie watumishi wake ! Na kwenye mitaala somo la uzalendo liwepo ! uzalendo unakua mgumu kwa sababu tumejiwekea mazingira ya kula kwa urefu wa kamba kwa hiyo sasa mtu akimpa mwenyekiti 50k ampe barua ya utambulisho unategemea akatae?

Sichukii wageni kwa maana hata mimi ni mkimbizi pia ila wazazi wangu walifuata taratibu zote ! Na elimu zote nimepatia hapa hapa
Ila bado huwa kuna muda tunapigwa ambush 😂😂 inabidi utoe makaratasi na sometimes wanakataa hizo document japokuwa ni sahihi na ziko verified inabidi sasa kupenyeza rupia kuepusha mambo mengi !
 
Na kuongezea serikali inabidi imulike mpaka wa kenya na Tza kwa jicho la 3 kama inataka kutokomeza wimbi la wahamiaji haramu kutoka Ethiopia.
Watu wengi wanaojiita Wa Ethiopia ni raia wa Sudan magharibi(ambao hufanana na WA Ethiopia), na wengi wao siyo watu wazuri
 
Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.

Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati mwingine watu hao hufanikiwa kuvuka vizuizi na kufika mjini salama.

Nimefanikiwa kufuatilia na nikagundua

Wakimbizi kutoka makambi ya Nduta, Warundi na Wanyarwanda kutoka nchini kwao huingia katika manispaa ya Kigoma kupitia njia zisizo rasmi.

Katika usafiri wa treni ya Kigoma - Dar, uongozi hukagua vitambulisho kwa abiria.

Hapa watakagua kadi ya NIDA, mpigakura, Passport, Leseni ya Udereva na asiye na vitambulisho hivyo atapaswa kuonyesha BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA KIJIJI ALIKOTOKA.

Lakini,

Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wanaoshindwa kutofautisha Raia wa Tanzania na wa nchi za Kigeni. Pia Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wasio waaminifu ambao kwa kufahamu kabisa hupewa "Chai" na raia wa Kigeni ili kuwaandalia badua zenye mihuri ya vijiji husika ili kuwawezesha watu hao kusafiri kwa Treni hivyo watafanikiwa kufika mikoa mbalimbali nchini kwa madhumuni yasiyofahamika.

Ikumbukwe,

Nchi za Congo DR, Burundi Rwanda, Uganda na Kenya, kwa muda mrefu zimekuwa zikipambana na matishio ya ugaidi wa ADF, Al Shabaab na makundi mengine hatari.

Huwa najiuliza,

Itakuwaje kama wahamiaji hao ni Sehemu ya makundi hayo na ni mpango wao wa ku_infiltrate katika jamii za Watanzania ili baadaye waanze kutishia Usalama?
Ujumbe wako ni mzito sana unatakiwa kufikia Jeshi la Police na Usalama wa Taifa kwasababu nchi inaweza kuvamiwa kwa uzembe kama huu Dkt. Gwajima D
 
Na kuongezea serikali inabidi imulike mpaka wa kenya na Tza kwa jicho la 3 kama inataka kutokomeza wimbi la wahamiaji haramu kutoka Ethiopia.
Hao wahamiaji Haram wanakula pamoja na maafisa WA chek points, ukiona wamekamatwa ujue maafisa wamechomana au kuna miss communications mzee
 
Mkuuu pole,

Tanzania ni shamba la Bibi, tunaishi Kwa kudra za Mwenezi Mungu.
 
Ujumbe wako ni mzito sana unatakiwa kufikia Jeshi la Police na Usalama wa Taifa kwasababu nchi inaweza kuvamiwa kwa uzembe kama huu Dkt. Gwajima D
Ni kweli mkuu. Nchi zenye changamoto za kiusalama zilipuuzia red flags kama hizi.

Hata hivyo,

Huyo uliyem_tag hahusiki katika hili
 
Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.

Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati mwingine watu hao hufanikiwa kuvuka vizuizi na kufika mjini salama.

Nimefanikiwa kufuatilia na nikagundua

Wakimbizi kutoka kambi laNduta, Warundi na Wanyarwanda kutoka nchini kwao huingia katika manispaa ya Kigoma kupitia njia zisizo rasmi.

Katika usafiri wa treni ya Kigoma - Dar, uongozi hukagua vitambulisho kwa abiria.

Hapa watakagua kadi ya NIDA, mpigakura, Passport, Leseni ya Udereva na asiye na vitambulisho hivyo atapaswa kuonyesha BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA KIJIJI ALIKOTOKA.

Lakini,

Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wanaoshindwa kutofautisha Raia wa Tanzania na wa nchi za Kigeni. Pia Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wasio waaminifu ambao kwa kufahamu kabisa hupewa "Chai" na raia wa Kigeni ili kuwaandalia badua zenye mihuri ya vijiji husika ili kuwawezesha watu hao kusafiri kwa Treni hivyo watafanikiwa kufika mikoa mbalimbali nchini kwa madhumuni yasiyofahamika.

Ikumbukwe,

Nchi za Congo DR, Burundi Rwanda, Uganda na Kenya, kwa muda mrefu zimekuwa zikipambana na matishio ya ugaidi wa ADF, Al Shabaab na makundi mengine hatari.

Huwa najiuliza,

Itakuwaje kama wahamiaji hao ni Sehemu ya makundi hayo na ni mpango wao wa ku_infiltrate katika jamii za Watanzania ili baadaye waanze kutishia Usalama?
Wapo bize na kumkamata lissu
 
Ogopa sana wahutu na watutsi kuliko wachina. Wakizaliana hao pipo ni hatari sana!

Kwa sasa priority ipo kwa chadema hao wakimbizi waache tu waingie hakuna shida.
 
Mimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.

Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati mwingine watu hao hufanikiwa kuvuka vizuizi na kufika mjini salama.

Nimefanikiwa kufuatilia na nikagundua

Wakimbizi kutoka kambi laNduta, Warundi na Wanyarwanda kutoka nchini kwao huingia katika manispaa ya Kigoma kupitia njia zisizo rasmi.

Katika usafiri wa treni ya Kigoma - Dar, uongozi hukagua vitambulisho kwa abiria.

Hapa watakagua kadi ya NIDA, mpigakura, Passport, Leseni ya Udereva na asiye na vitambulisho hivyo atapaswa kuonyesha BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA KIJIJI ALIKOTOKA.

Lakini,

Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wanaoshindwa kutofautisha Raia wa Tanzania na wa nchi za Kigeni. Pia Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wasio waaminifu ambao kwa kufahamu kabisa hupewa "Chai" na raia wa Kigeni ili kuwaandalia badua zenye mihuri ya vijiji husika ili kuwawezesha watu hao kusafiri kwa Treni hivyo watafanikiwa kufika mikoa mbalimbali nchini kwa madhumuni yasiyofahamika.

Ikumbukwe,

Nchi za Congo DR, Burundi Rwanda, Uganda na Kenya, kwa muda mrefu zimekuwa zikipambana na matishio ya ugaidi wa ADF, Al Shabaab na makundi mengine hatari.

Huwa najiuliza,

Itakuwaje kama wahamiaji hao ni Sehemu ya makundi hayo na ni mpango wao wa ku_infiltrate katika jamii za Watanzania ili baadaye waanze kutishia Usalama?
Wapo busy na. Chadema, Tanzania unaweza ukaishi kiharamu hata mtu.mmoja asijue no body cares
 
Hehe! sio kwamba hawajui ni vile tu hakuna ufuatiliaji yakinifu!, idara zote za usalama zinajua mambo yote ya hovyo yanayofanyika sema unakuta aidha wao ndio wafaidika wa hayo mambo!, ama wameridhika na kazi yao hivyo hayo mengine mtajijua wenyewe!, chengine ni utendaji hafifu wa idara zetu.
Mtu anawaza aingie tu kazini asubuhi na atoke saa tisa!, hakuna ubunifu, hakuna changamoto yoyote anayofikiria kuitatua miaka nenda rudi na uzuri pesa inaingia na anapandishiwa mshahara..
Mianya ya upigaji nayo inawafanya watu wawe wabunifu kwenye upigaji na sio ubunifu kwenye kazi!.
 
Back
Top Bottom