Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Watu wengi wanaojiita Wa Ethiopia ni raia wa Sudan magharibi(ambao hufanana na WA Ethiopia), na wengi wao siyo watu wazuriNa kuongezea serikali inabidi imulike mpaka wa kenya na Tza kwa jicho la 3 kama inataka kutokomeza wimbi la wahamiaji haramu kutoka Ethiopia.
Ujumbe wako ni mzito sana unatakiwa kufikia Jeshi la Police na Usalama wa Taifa kwasababu nchi inaweza kuvamiwa kwa uzembe kama huu Dkt. Gwajima DMimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.
Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati mwingine watu hao hufanikiwa kuvuka vizuizi na kufika mjini salama.
Nimefanikiwa kufuatilia na nikagundua
Wakimbizi kutoka makambi ya Nduta, Warundi na Wanyarwanda kutoka nchini kwao huingia katika manispaa ya Kigoma kupitia njia zisizo rasmi.
Katika usafiri wa treni ya Kigoma - Dar, uongozi hukagua vitambulisho kwa abiria.
Hapa watakagua kadi ya NIDA, mpigakura, Passport, Leseni ya Udereva na asiye na vitambulisho hivyo atapaswa kuonyesha BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA KIJIJI ALIKOTOKA.
Lakini,
Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wanaoshindwa kutofautisha Raia wa Tanzania na wa nchi za Kigeni. Pia Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wasio waaminifu ambao kwa kufahamu kabisa hupewa "Chai" na raia wa Kigeni ili kuwaandalia badua zenye mihuri ya vijiji husika ili kuwawezesha watu hao kusafiri kwa Treni hivyo watafanikiwa kufika mikoa mbalimbali nchini kwa madhumuni yasiyofahamika.
Ikumbukwe,
Nchi za Congo DR, Burundi Rwanda, Uganda na Kenya, kwa muda mrefu zimekuwa zikipambana na matishio ya ugaidi wa ADF, Al Shabaab na makundi mengine hatari.
Huwa najiuliza,
Itakuwaje kama wahamiaji hao ni Sehemu ya makundi hayo na ni mpango wao wa ku_infiltrate katika jamii za Watanzania ili baadaye waanze kutishia Usalama?
Hao wahamiaji Haram wanakula pamoja na maafisa WA chek points, ukiona wamekamatwa ujue maafisa wamechomana au kuna miss communications mzeeNa kuongezea serikali inabidi imulike mpaka wa kenya na Tza kwa jicho la 3 kama inataka kutokomeza wimbi la wahamiaji haramu kutoka Ethiopia.
Ni kweli mkuu. Nchi zenye changamoto za kiusalama zilipuuzia red flags kama hizi.Ujumbe wako ni mzito sana unatakiwa kufikia Jeshi la Police na Usalama wa Taifa kwasababu nchi inaweza kuvamiwa kwa uzembe kama huu Dkt. Gwajima D
Likitokea Shambulio la kigaidi kama la chuo kikuu cha Garisa(ten years ago)tutaacha mzahaMkuuu pole,
Tanzania ni shamba la Bibi, tunaishi Kwa kudra za Mwenezi Mungu.
RUSHWA NI ZAIDI YA CANCER,MAKAZINI HUU UGONJWA NI ZAID YA HATARI.Rushwa ni hatari , kukom
Wapo bize na kumkamata lissuMimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.
Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati mwingine watu hao hufanikiwa kuvuka vizuizi na kufika mjini salama.
Nimefanikiwa kufuatilia na nikagundua
Wakimbizi kutoka kambi laNduta, Warundi na Wanyarwanda kutoka nchini kwao huingia katika manispaa ya Kigoma kupitia njia zisizo rasmi.
Katika usafiri wa treni ya Kigoma - Dar, uongozi hukagua vitambulisho kwa abiria.
Hapa watakagua kadi ya NIDA, mpigakura, Passport, Leseni ya Udereva na asiye na vitambulisho hivyo atapaswa kuonyesha BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA KIJIJI ALIKOTOKA.
Lakini,
Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wanaoshindwa kutofautisha Raia wa Tanzania na wa nchi za Kigeni. Pia Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wasio waaminifu ambao kwa kufahamu kabisa hupewa "Chai" na raia wa Kigeni ili kuwaandalia badua zenye mihuri ya vijiji husika ili kuwawezesha watu hao kusafiri kwa Treni hivyo watafanikiwa kufika mikoa mbalimbali nchini kwa madhumuni yasiyofahamika.
Ikumbukwe,
Nchi za Congo DR, Burundi Rwanda, Uganda na Kenya, kwa muda mrefu zimekuwa zikipambana na matishio ya ugaidi wa ADF, Al Shabaab na makundi mengine hatari.
Huwa najiuliza,
Itakuwaje kama wahamiaji hao ni Sehemu ya makundi hayo na ni mpango wao wa ku_infiltrate katika jamii za Watanzania ili baadaye waanze kutishia Usalama?
Wapo busy na. Chadema, Tanzania unaweza ukaishi kiharamu hata mtu.mmoja asijue no body caresMimi ni mtoa huduma kwa wakimbizi kutoka katika shirika la madakatari wasio na mipaka la MSF.
Mara nyingi nimeshuhudia wakimbizi wasio na vibali vya kutoka nje ya kambi wakisafiri kutoka kambi la Nduta kwenda Kasulu na baadaye Kigoma manispaa. Njiani Kuna vituo vya ukaguzi lakini wakati mwingine watu hao hufanikiwa kuvuka vizuizi na kufika mjini salama.
Nimefanikiwa kufuatilia na nikagundua
Wakimbizi kutoka kambi laNduta, Warundi na Wanyarwanda kutoka nchini kwao huingia katika manispaa ya Kigoma kupitia njia zisizo rasmi.
Katika usafiri wa treni ya Kigoma - Dar, uongozi hukagua vitambulisho kwa abiria.
Hapa watakagua kadi ya NIDA, mpigakura, Passport, Leseni ya Udereva na asiye na vitambulisho hivyo atapaswa kuonyesha BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA SERIKALI YA KIJIJI ALIKOTOKA.
Lakini,
Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wanaoshindwa kutofautisha Raia wa Tanzania na wa nchi za Kigeni. Pia Kuna Wenyeviti na watendaji wa vijiji wasio waaminifu ambao kwa kufahamu kabisa hupewa "Chai" na raia wa Kigeni ili kuwaandalia badua zenye mihuri ya vijiji husika ili kuwawezesha watu hao kusafiri kwa Treni hivyo watafanikiwa kufika mikoa mbalimbali nchini kwa madhumuni yasiyofahamika.
Ikumbukwe,
Nchi za Congo DR, Burundi Rwanda, Uganda na Kenya, kwa muda mrefu zimekuwa zikipambana na matishio ya ugaidi wa ADF, Al Shabaab na makundi mengine hatari.
Huwa najiuliza,
Itakuwaje kama wahamiaji hao ni Sehemu ya makundi hayo na ni mpango wao wa ku_infiltrate katika jamii za Watanzania ili baadaye waanze kutishia Usalama?
Hapa nafanya kazi na kabila la Waha(Wahutu wa Kigoma) ni wabaguzi, wazushi na wachonganishi sana maofisini.Ogopa sana wahutu na watutsi kuliko wachina. Wakizaliana hao pipo ni hatari sana!